PostGE2025 Mambo muhimu ambayo Tume ya Uchunguzi ya Jaji Chande imeyapuuza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kauli ya hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi.
 
Ni hatari sana Katiba Mpya kuletwa na serikali ya ccm Zanzibar.
Labda WaTanganyika wahamasike sana!
Katiba mpya haiwezi kuletwa na serikali batili mkuu.
 
Mliambiwa muende mkapeleke ushahidi au mjaze dodoso la kwenye mtandao, mkasema hamtaki kwa kuwa Tume ni haramu. Acheni kulalamika
Kwa hiyo kama watu wote wangejitokeza kuhojiwa majibu ya tume yangebadiliika mkuu?
 
Tume inayoteuliwa na mamlaka ileile inayotuhumiwa kuhusika ni vigumu au niseme haiwezekani kuwa na ujasiri wa kuinyooshea kidole mamlaka hiyo.

Haki isiyoonekana ikitendeka ni dhihaka kwa wahusika.

Kutofikiwa kwa viongozi wa Polisi na watawala kutoa maelezo ni uthibitisho tosha kuwa Tume ilikuwa na mipaka ya kiutendaji ambayo haikuruhusiwa kuivuka.
 

 
Hio report hata mimi nigeweza kuandika nikiwa ndani, tume ime acha vitu vya maana ime enda kuleta maigizo
 
Report ilikua isha tamkwa tangu siku tume inaundwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…