PostGE2025 Mambo muhimu ambayo Tume ya Uchunguzi ya Jaji Chande imeyapuuza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Pascal Mayalla tume imefeli sana . Tatizo kubwa Paskali you take side na unavunja principle za deontology Kwenye Journalism

Nilitegemea tume itoe ufafanuzi juu ya wale mablqck ambao walikuwa kwenye nguo za kuraia wameshika guns heading to shot citizens

Another scene ni wale jamaa waliokuwa juu ya Daraja la Kijazi , ni snipers kama watatu hivi walikuwa juu wakilenga raia wa chini , wapo kwenye CCTV camera

Tume imeshundwa kutoa ufafanuzi wale ni kina na hatua ni zipi

Nipo disappointed sana na wewe yaani umeshundwa kuheshimu principe za journalism
Worst part CCM hawakutaki kaka ila inajisogeza snaa
Chande na Familia yake wamelaaniwa

Samia tayari ni mfu anaetembea
 
Hii ripoti ya mchongo badala ya kuliponya taifa ndiyo imekuja kutonesha vidonda vya watanzania, hasa wale ambao miili ya ndugu zao ilichomwa kwenye tanuru. Serikali ya kishetani sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…