Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

Story ishaanza kuwa haina mvuto

Kiingereza kingi mno huku ukijua fika wanaosoma andiko lako asilimia 70 hawajui hio lugha....huwa unategemea nini?

Haya mambo ya episodes ni hovyo Sana

Vinginevyo naamini utabadirika katika hilo insha'Allah

Mungu akupe pumzi na Afya tele
 
Chifu wakati nimeamua kushea hii life experience yangu lengo halikuwa kutengeneza mvuto kwa mtu kwani sipo hapa kushindania kuwa na mvuto or otherwise. ni kitu nilichowiwa nikasema kwa atakayeona inafaa kuotoka moja au mbili tatu basi na aokote. sasa sijajua huo mvuto au kukosa mvuto ni sababu ya lugha, mpangilio au content? anyway mvuto ni hisia na hisia hazinunuliwi.

Pili, kama umenote kitu, natumia kingereza (sio kingi kama unavyodai) maeneo ambayo nimeona ni very professional hususani katika kutoa ufafanuzi ambao maana ya kitu au situation husika inasadifu kingereza kutokana na uhaba wa maneo ya kiswahi. Hii nimefanya makusudi kwani hapa naongelea professional issues ambazo kwa mazingira yetu ya kuajiriwa lugha ambayo ni official kwetu ni kingereza. Hiyo asilimia 70 unayoisema kama ni kweli ipo hivyo basi nafikiri may be hawakuwa ni target angle kwani muktadha wa hii story inafiti wale wanaotaka kuajiriwa, walioajriwa au wanaotaka kuajiri ambapo kingereza is must.

Mambo ya episodes yanahitaji sana subira na utashi wa uvumilivu mkuu vinginevyo utaona utaona watu wanazingua tuu. By the way sitobadilika nitaendelea kumix languages kama nilivoanza hii ni kwa kusudi maalum. Asante.
 
Naheshimu mawazo yako mkuu

Usiku mwema
 
Mkuu shikilia humo humo binafsi nakupata sana na najifunza mengi kwenye hii profession, madini ni mengi sana humu, naweza nikasema kuna experiences nyingi umeelezea ambazo ni ngumu kufundishwa chuoni hata anaesomea hizi degree zetu zinazo husu maendeleo ya jamii. Unless mtu aingie field na afanye kazi si chini ya miaka mitatu.
 
This is not just a story, It is a lecture.
 
This is free lunch in Africa for sure. I salute you for sharing your proffesional and working experiences, there is alot to take in your story especially for job seekers keep up the good work and you have been blessed.
 
Graduates bhana, experience unafunfishwaje chuoni? Umeona kuna mahali hata yeye kasema alifundishwa chuoni?
 
Umetukumbusha wengi mkuu...
 
Samahani naomba Mana ya muktadha kwa English ndio naeleww zaiidi.


Huyo achana naye shida ya human brain inapenda entertainment mno kuliko chochote.yaani we're hardwired to attract pleasure and repel pains.
Success in human being you've to reverse this mental mechanism. Yaani we've to love and attract pains and repel pleasure na ndio Mana masikini Ni wengi mno kuliko matajirii.

Just ask how many days or how long do you spend katika entertainment vs pains.
 
Nani kaandika hapa?
Na mnavyopenda kujifanya wajuaji wa mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…