Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

Brother you're life story is so much appreciated 🙏
 
Nimesoma andiko lako lote.Kwa kweli nimependa uhandishi wako. Watu wengi wanakwazika mwandishi anapoamua kuchanganya Kiswahili na Kiingereza ila mimi ninapenda sana kwani ni Swaga nzuri,ila kingine kuna maneno au situation ukiiwasilisha kwa Kiingereza inaleta mvuto mzuri sana.

Kuconclude, Kikubwa kwenye andiko lako umeeza kushare your detailed CV in a unique way.Kwa kweli wee ni msanii mzuri nikimaanisha you manage to present your detailed CV in a unique manner,only smart people will know.Hongera sana Kamanda.Nakutakia job search njema,kwa skills nilizoona kwenye CV yako ,nina uhakika utapata sehemu nzuri. Please hope you know, the greatesr mistake most people make is to give up, dont even think about that.
 
Comrade TAI DUME unaonekana uko vizuri sana upstairs. Hongera sana. Nimelielewa andiko lako walau kwa sehemu fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…