Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
NB nimeikopi kutoka X
1. Mpangilia wa kuamka saa 12 Asubuhi kila siku, (Epukua kuamshwa na Alarm).
2. Fanya mazoezi ya "KEGEL" kwa usahihi Walau nusu saa kila siku asubuhi na jioni.
3. Kunywa maji lita 3-5 kila siku iwe kwenye ratiba yako.
4. Pata bakuli mbili ya mchuzi wa bamia changa kwa week mara moja kabla yaku lala.
5. Weka utaratibu wa kulala angalau masaa 7-8 kilasiku.
6. "Lala uchi" Epuka nguo zakubana Usiku, Hapa vijana wengi mnazingua.
7. Usitizame video za ngono, Epuka miemko, Acha tabia ya kupiga nyeto.
8. Boost Homoni Ya Testosteroni na vyakula Asalia, Usitumie madawa ya nguvu za kiume.
9. Fanya vipimo au check up walau mara 2 kwa mwaka, Itakusaidia katila utambuzi na kutatua tatizo mapema.
10. Weka ratiba yako ya kila siku hakikisha una zingatia kilasiku usivunje ratiba.
NB: Hakikisha unazingatia nakubadilasha mtindo wa maisha yako kwa afya yako ya uzazi na saikolojia yako.