Ha ha haaaaaAtuambie tu ukweli yeye ni rais urijino au ndo rais kivuli!! Manake haeleweki
HatumtakiiiiHii ni thread muhimu ya Mambo muhimu ya kumdai mgombea Urais kupitia CCM tunapoelekea kufanya uchaguzi oktoba 29.
Katika thread hii tuweke bila aibu ni mambo gani muhimu anatakiwa atimize iwapo atachaguliwa kushika kiti adhimu cha Urais mwaka 2025 hadi 2030.
Ni wazi na bila shaka watanzania wengi kupitia CCM watamchagua hivyo sio mbaya kusema kwa uwazi ni maswala yapi anapaswa kuyasimamia pindi atakapopewa ridhaa ya kuongoza.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Yeye sio mgombea halali.....NRNEHii ni thread muhimu ya Mambo muhimu ya kumdai mgombea Urais kupitia CCM tunapoelekea kufanya uchaguzi oktoba 29.
Katika thread hii tuweke bila aibu ni mambo gani muhimu anatakiwa atimize iwapo atachaguliwa kushika kiti adhimu cha Urais mwaka 2025 hadi 2030.
Ni wazi na bila shaka watanzania wengi kupitia CCM watamchagua hivyo sio mbaya kusema kwa uwazi ni maswala yapi anapaswa kuyasimamia pindi atakapopewa ridhaa ya kuongoza.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Masoud.....kiboko
Ni deni kwa muktadha wa ahadi ni haki kudaiwa ahadi ni muhimu kutimiza ahadi kwani oktoba 29 ndio alifunga mkataba rasmi na watanzania.Mleta mada jamani, unamdai nini tena , tafuta ilani ya ccm ya 2025 to 2030, majibu yote yako humo, hawezi kwendana na mada zako eti tumdai, hilo halipo. Nionavyo mimi