Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,769
- 1,379
Business License inatolewa BRELA siku hiziService levy hii inachargiwa kwenye halmashauri unayofanyia biashara na mara nyingi ilikuwa haifuatiliwi sana sasa katika kwenda kwenye uchumi wa kati hii nayo lazima ifuatiliwe na inatakiwa itokane na mauzo na kila robo ya mwaka inabidi ipelekwe. Soma kwako katika sheria ndogo za Halmashauri wewe unatakiwa ulipe nini upeleke kwa wakati. Halafu hapa nafikiri halmashauri zingiweza kufanya vizuri kwa sababu wao ni miongoni wanatoa leseni za biashara wangeweka kama ujalipa hii hupati license mara moja hii hela ingekuwa inakusanywa kwa wakati ili na walimu wetu na huduma kwenye halmashauri ziwe bora.
Business License inatolewa BRELA siku hizi
KUNA ANNUAL RETURNS ZINAZOENDA BRELA? SIJAWAHI KUSIKIA HII
Mambo yamebadilika mkuu, kalaghabao na zilipendwa zakoKuna aina mbili kuu za Business license Class A na Class B. Class B inatolewa na Halmashauri na Class A inatolewa na Wizara ya Biashara .
Mkuu, hebu tuwekee mawasiliano yako hapa ili tuwasiliane. Huu utawala hatari sana aisee.
Mie nmeshasajili Brela online nmepata certificate what next ili niweze pata Tax clearance na kulipia ada ya usajiliWiki mbili zimebaki kufile kwa provision( Makadirio ya mwaka) shime tutekeleze matakwa haya ya kisheria.
Ahsante
Mie nmeshasajili Brela online nmepata certificate what next ili niweze pata Tax clearance na kulipia ada ya usajili
Samahani mkuu nina zaidi ya branch 2 na zipo mikoa tofauti, Je ninatakiwa kulipa halmashauri moja tu pale kwenye head office au nitalipa kila branch kwa halmashauri husika.Service levy hii inachargiwa kwenye halmashauri unayofanyia biashara na mara nyingi ilikuwa haifuatiliwi sana sasa katika kwenda kwenye uchumi wa kati hii nayo lazima ifuatiliwe na inatakiwa itokane na mauzo na kila robo ya mwaka inabidi ipelekwe. Soma kwako katika sheria ndogo za Halmashauri wewe unatakiwa ulipe nini upeleke kwa wakati. Halafu hapa nafikiri halmashauri zingiweza kufanya vizuri kwa sababu wao ni miongoni wanatoa leseni za biashara wangeweka kama ujalipa hii hupati license mara moja hii hela ingekuwa inakusanywa kwa wakati ili na walimu wetu na huduma kwenye halmashauri ziwe bora.
Samahani mkuu nina zaidi ya branch 2 na zipo mikoa tofauti, Je ninatakiwa kulipa halmashauri moja tu pale kwenye head office au nitalipa kila branch kwa halmashauri husika.
Asante mkuu hakika nimekuelewa.Kisheria ilitakiwa kila mauzo ya pale unapofanyia kazi ndio ulipie. Kuna wakati nilipata hii shida kwasababu tuliconsolidate tukalipa tulipokuwa na HQ na zile halmashauri nyingine zikawa zinafuatilia kweli kweli tukajikuta tumelazimika kulipa mara mbili. Kwa sababu hizi ni by law za halmashauri na ni kwa faida ya pale ambapo unafanya biashara. Kwahiyo ushauri wangu ni kutenganisha mauzo ya kila branch then unawapa chao.
Ahsante