Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

Service levy hii inachargiwa kwenye halmashauri unayofanyia biashara na mara nyingi ilikuwa haifuatiliwi sana sasa katika kwenda kwenye uchumi wa kati hii nayo lazima ifuatiliwe na inatakiwa itokane na mauzo na kila robo ya mwaka inabidi ipelekwe. Soma kwako katika sheria ndogo za Halmashauri wewe unatakiwa ulipe nini upeleke kwa wakati. Halafu hapa nafikiri halmashauri zingiweza kufanya vizuri kwa sababu wao ni miongoni wanatoa leseni za biashara wangeweka kama ujalipa hii hupati license mara moja hii hela ingekuwa inakusanywa kwa wakati ili na walimu wetu na huduma kwenye halmashauri ziwe bora.
Business License inatolewa BRELA siku hizi
 
KUNA ANNUAL RETURNS ZINAZOENDA BRELA? SIJAWAHI KUSIKIA HII
 
Pole sana ndugu hii lipo kwenye company act chapter 128
soma hapo chini kwa kina zaidi
ANNUAL RETURN
128.-(I) Every company shall deliver to the Registrar, successive
annual returns each of which is made up to a date not later than the
''return date'', that is:-

(a) the anniversary of the company's incorporation, or
(b) if the company's last return delivered in accordance with this
Chapter was made up to a different date, the anniversary of
that date.
(2) Each return shall -
(a) be in the prescribed form,
(b) contain the information required under the provisions of this
Chapter,
(c) be signed by a Director or the Secretary of the company.
(3) If a company fails to deliver an annual return in accordance with
this Chapter within twenty eight days of the return date, the company
and every officer of the company who is in default shall be liable to a
fine and, in the case of a continued failure to deliver an annual return, to
a default fine. For the purpose of this subsection, the expression ''officer''
shall include any person in accordance with whose directions or
instructions the directors of the company are accustomed to act.

KUNA ANNUAL RETURNS ZINAZOENDA BRELA? SIJAWAHI KUSIKIA HII
 
Wiki mbili zimebaki kufile kwa provision( Makadirio ya mwaka) shime tutekeleze matakwa haya ya kisheria.
Ahsante
 
Mkuu, hebu tuwekee mawasiliano yako hapa ili tuwasiliane. Huu utawala hatari sana aisee.
 
Kwa kauli ya mkuu tuko vizuri sana ndugu, sasa tutakuwa tunalipa kodi kwa kufurahia maana ulipaji utafuata misingi ya sheria zilizopo. Nimekupm mkuu

Mkuu, hebu tuwekee mawasiliano yako hapa ili tuwasiliane. Huu utawala hatari sana aisee.
 
Daa huu uzi umenichanganya akili kabsaa nimetelekeza kampuni mwaka wa pili sasa sijui penalt yake itakuwaje
 
Mungu akubariki sana ndugu
Umetoa elimu nzuri sana mawasiliano yako ni muhimu mkuu
Binafsi nimeanza kwa kutumia jina la kampuni ya MTU mwingine kwa makubaliano maalum ila naomba Mungu anisaidie by September nisajili kampuni yangu
 
Kaka kama unapenda kuendelea na hiyo kampuni naamini ulikuwa na malengo yako nakushauri watembelee wahusika watakusaidia. Kuna mpango hata wakulipa kwa installment na kwa ujumbe wa mkuu wa jana naamini utapata sikio la kukusikiliza.

QUOTE="hopaje, post: 26212522, member: 118926"]Daa huu uzi umenichanganya akili kabsaa nimetelekeza kampuni mwaka wa pili sasa sijui penalt yake itakuwaje[/QUOTE]
 
Wiki mbili zimebaki kufile kwa provision( Makadirio ya mwaka) shime tutekeleze matakwa haya ya kisheria.
Ahsante
Mie nmeshasajili Brela online nmepata certificate what next ili niweze pata Tax clearance na kulipia ada ya usajili
 
Ukiwa mfanya biashara mzalendo hakuna haya ya kuwa na uoga na kama unakampuni sio vibaya kutafuta msaada wa kitaalamu ili mambo yako yakae vyema.
 
Attachments

  • Magufuli speech on march 14 2018.jpg
    Magufuli speech on march 14 2018.jpg
    10.7 KB · Views: 83
Kwa kampuni mpya ni rahisi tuu, nenda TRA sasa watakupa form za kujaza na vilevile kama ni kampuni limited ujifanyie makadirio na ujiandae kulipa au uwe na withhold ya rental kama wao wameshaipokea then unalipa watakupa tax clearance bila shida . Ila ngoja niweke cavier hapa hizo ni generality aiondoe wewe kupata ushauri kutoka kwa washauri wa mada husika maana uzi huu ni wakutoa information

Mie nmeshasajili Brela online nmepata certificate what next ili niweze pata Tax clearance na kulipia ada ya usajili
 
Service levy hii inachargiwa kwenye halmashauri unayofanyia biashara na mara nyingi ilikuwa haifuatiliwi sana sasa katika kwenda kwenye uchumi wa kati hii nayo lazima ifuatiliwe na inatakiwa itokane na mauzo na kila robo ya mwaka inabidi ipelekwe. Soma kwako katika sheria ndogo za Halmashauri wewe unatakiwa ulipe nini upeleke kwa wakati. Halafu hapa nafikiri halmashauri zingiweza kufanya vizuri kwa sababu wao ni miongoni wanatoa leseni za biashara wangeweka kama ujalipa hii hupati license mara moja hii hela ingekuwa inakusanywa kwa wakati ili na walimu wetu na huduma kwenye halmashauri ziwe bora.
Samahani mkuu nina zaidi ya branch 2 na zipo mikoa tofauti, Je ninatakiwa kulipa halmashauri moja tu pale kwenye head office au nitalipa kila branch kwa halmashauri husika.
 
Kisheria ilitakiwa kila mauzo ya pale unapofanyia kazi ndio ulipie. Kuna wakati nilipata hii shida kwasababu tuliconsolidate tukalipa tulipokuwa na HQ na zile halmashauri nyingine zikawa zinafuatilia kweli kweli tukajikuta tumelazimika kulipa mara mbili. Kwa sababu hizi ni by law za halmashauri na ni kwa faida ya pale ambapo unafanya biashara. Kwahiyo ushauri wangu ni kutenganisha mauzo ya kila branch then unawapa chao.

Asante mkuu hakika nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom