Swali zuri
Vipi kama unajua jinsi ya kusajili kampuni ya watu wengi/umma naomba msaada
Mkuu naomba kujua kuhusu service levy, huku mkoani kwangu nimeona wanafungiwa na watu wa halmashauri, na mimi nina company yangu hapa ina mwaka sasa sijawahi lipia.
Nimesoma na kuelewa, ofisi zako zapatikana wapi?