Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Kitu nisichokipenda kutoka kwao ni kwamba Wana chuki sana na watu wasioamini ktk dini yao, wanajiona wao pekee ndio wanastahili kuishi kwenye Dunia hii ni ujinga kwa kweli.
Ukisoma katika historia Empire za Kiislamu ziliishi na Jamii za dini nyingine kwa amani ,hayo unayoandika ni mambo ya watu aa baadhi ya makundi yanayojinasibisha na uislamu.
 
Mwenyewe mi mkristo piwa kabisa ila Kuna mambo Wanawake wa kiislam wananifurahisha.Kwanza ni wasafi wananukia na wanajua kupika,acha tu.Ila upande wetu unga unga mwana
 
Ngoja wvaa kobzi wakusikie wakusomee takbiri
Tena hao wavaa magunia ndiyo inabidi wakamatwe na kuwekwa ndani kwani ni hao ndiyo wanawafundisha wanetu kuwa wajinga. Utamlazimishaje mtu afuate msingi ya dini (imani na mila) za watu wengine wakati hapa Tanzania tuna mila zetu? Viongozi wa dini ndiyo wanafanya taifa letu kuwa na wananchi wajinga.
 
Kwanza tumjue huyo Mtume kwa sura. Sasa hawa wadau wanamfuataje mtu hawamjui? Zingatia... Mtu! Nasikia pia aling'olewa meno na watesi

Mengine yanaongeleka, ila yana mapungufu pia
 
Bro vitu na imani dhaifu sikuzote hutetewa kwa nguvu...
Unadhani wakristo wangekua na fikra dhaifu tungeishi hii dunia kwa amani..?
Uhai amani na uzuri wa hii dunia ni kwasabab wakristo ni hodari na mahiri ktk kilakitu...
 
Chema chajiuza kibaya chajitangaza.Kwa nini usiwahubirie watu kumfuata Mungu wako bila kukashifu imani za wengine?Hakuna kinachokuvutia kwenye ugalatia ni sawa na ni haki yao.Unaamini wagalatia wana kinachowavutia kwenye uislam?
 
Niliuliza hivi; Kwanini mtu akitaka kusilimu lazima apewe jina la kiarabu..
Mfano, Bahati anataka kusilimu, kwanini sasa aitwe Abdul badala ya kubaki na Bahati lake.. Je kuna shida na Majina yasiyo ya kiarabu?

Naomba jibu kama unajua.

Hakuna ulazima ni mazoea tu, kwa hio ni suala la hiari.
 
Ooh.. okay.. Kuna sheikh aliniambia haiwezekani uwe muislamu asiye na jina la kiislamu.. sikuridhishwa na hilo jibu.

sio kila shehe ni shehe, wengi ni ma ustadh wa chuoni nao pia huitwa mashehe mittani. Hakuna Jina la kiislmau, ila uislamu umesisitiza watu wawe na majina mazuri kwa maana kimaana nahata kimatamshi pia.
 
Kwa nnaowaona kwenye jamii yangu ndivyo wanavyoishi tena kwa wingi.
 
Haya yote yapo kwenye ukristo
Ila hayapo kwenye madhehebu.
 
Kitu nisichokipenda kutoka kwao ni kwamba Wana chuki sana na watu wasioamini ktk dini yao, wanajiona wao pekee ndio wanastahili kuishi kwenye Dunia hii ni ujinga kwa kweli.

sio wewe ndio mwenye chuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…