MAMBO NAYOYA EXPERIENCE BAADA YA KUMILIKI GARI

acha mawazo mfu..nani alikwambia kumiliki gar lazima ujenge kwanza?
 
Sana bwana, naona wewe unakaa karibu na unakofanyia kazi hongera sana.....haina shida
 
Bora angesema elfu 10 kwa siku ningemuelewa
Guys wengine hatupo dar ambapo kwa siku unaweza zunguka na gari zaidi ya 40 kilometers, Kuwasha Ac kwa jili ya joto, kusubiri foleni(kunakula mafuta), n.k naishi sehem ambayo kwa siku naendesha gari mizunguko yote haizidi 10 km sina haja ya Ac maana hakuna joto sana na wala hakuna foleni,
 
Unaanza na misiba kila la kheri
I couldn't agree more. Tatizo watu wanaishi maisha wasifiwe huku ndani anaumia na kuminyana vibayaa
Wengi wanamponda jamaa lakini mi sioni sababu.. Its his life, what do they care? Mshaurini positively..
Seriously Mimi nikiangaliaga foleni dar, naona wengi wanaendesha hizo gari wanazozidharau humu, tena vidume vimeshiba.. Wakija humu wanajifanya wao wanaendesha maVX.. Nyie watu Mungu anawaona kwa unafiki wenu
Hizo brevis dar watu wanazitafutia wateja kwa bei chee wakanunue hiyo Carina kubana matumizi na hawapati wateja..
Wacha wafu wazike wafu wenzao..
 
Point of correction a motor vehicle is an asset and not a liability!!! Because it belongs to him(the owner) and can last for a long period of time. However it may depreciate.
It can be liability if it adds nothing into ya pockets.
 
Hizi comments zimenichekesha mno. Kiongozi wala usijali, kama unaishi mji kama Dar, gari nyingi ni aina hizo, IST, PASSO, STARLET, RAUM, CARINA...in fact wengi wanamiliki gari za wastani wa CC;1200-1500, huwa tunaona mibaba iloshiba ipo ndani ya passo... wala usijali maneno ya watu humu.
 
Kwa hiyo na wewe unajisifia una kiwanja? Tajiri wewe au sio? Acha kupangia watu maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…