Amrish Puri
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 274
- 379
acha mawazo mfu..nani alikwambia kumiliki gar lazima ujenge kwanza?Duuuh kwel watanzania tulio wengi tunawaza kurud nyuma sio kwenda mbele...yan gar umenunua kwa garama nabado kila siku unaweka ef 5 kwa ajil ya mafuta...huenda huna ata kiwanja,huna biashara yakukuingizia iyo ef 5 ulipe mafuta,huna pakupak ila ww unajisifia una gari???,,,et unaitwa boss,,,aya bana tajiri wasalimie mkoan uko