mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Nagari mengine no bajaji zimefungwa board tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanlg au FekonMafuta ya elfu tano kwa siku usjal aina usafir wako ushajulikana
Mimi namiliki RAV 4 Old Model, budget yangu ya mafuta ni TZS 120,000 kwa mwenzi. Najaza TZS 60,000 mwanzoni mwa mwezi na TZS 60,000 nyingine katikati ya mwezi. Kwa matumizi ya kwenda kazini na ofisini yananitosha.5000 imekuwa pikipiki? Heee
Dar watu wanaendesha over 60 km kila siku ya kazi mkuuMimi namiliki RAV 4 Old Model, budget yangu ya mafuta ni TZS 120,000 kwa mwenzi. Najaza TZS 60,000 mwanzoni mwa mwezi na TZS 60,000 nyingine katikati ya mwezi. Kwa matumizi ya kwenda kazini na ofisini yananitosha.
Huyo wa TZS 5,000 kwa siku bado iko juu kulinganisha na bajeti yangu. Anyway nyie wa Dar es Salama mnaishi mno mbali na eneo la kazi ndio maana mnaona TZS 5,000 haitoshi
Terrios kidElfu 5 ni lita kama 2.4 mkuu...ndio kilichotushangaza maana km unatumia kwa cku nzima lazima ni gari yenye engine ndogo sn
Usijali mkuu..Viingeleza vyenu vya kuvalia Tai hivi peleka huko