Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Wanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana.
Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana wakiandamana kupinga muswada wa fedha wa 2024/2025. Mengi tumeyaona kwenye mitandao ya kijamii na nimegundua mambo kadhaa.
1: Kwa mtazamo wangu nikama vile askari (baadhi yao)walikua wanaunga mkono maandamano. Maana mpaka mtu kwenda kumwambia askari nifanye chochote uone 😂😂😂😂 sijui kama ni Tanzania ingekuaje
2: Yale maji ya washawasha waliyokua wakitumia askari nadhani hayakua makali. Au yanaweza yakawa sawa na maji yaliyokua kwenye magari ya zimamoto.
3: Aidha nimegundua kwamba Kenya ni nchi ambayo siku za mbeleni haitakua na viongozi wezi, wababe, wafujaji, wenye kibri na dhuluma dhidi ya wananchi.
4: Nimegundua kwamba Kenya kwa asilimia kubwa wanafuatilia siasa, vijana kwa wazee na katika kusimamia haki hawaogopi.
5. Suala la ukada na uchawa hakina nafasi kubwa sana kwenye haki za wakenya tofauti na nchi nyingine za afrika mashabiki
Kwamaana nyingine naweza kusema vijana wa Kenya(maarufu kama Generation Z)hawatapoa mpaka Kenya yenyewe na viongozi wake wapoe.