KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Na pengine majengo ya Serikali, yaani mortuary na mahabusu.Ndio hivyo,binadam ni kama paka atakimbia sana ila akikosa pa kukimbilia akageuka lazima mgawane majeraha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na pengine majengo ya Serikali, yaani mortuary na mahabusu.Ndio hivyo,binadam ni kama paka atakimbia sana ila akikosa pa kukimbilia akageuka lazima mgawane majeraha
Ninachokiona Gene-Z ya kenya inamsukumo wa kisiasa pia, inasemekana Wana katiba ya wananchi je inafanya kazi ipasavyo?Wanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana.
Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana wakiandamana kupinga muswada wa fedha wa 2024/2025. Mengi tumeyaona kwenye mitandao ya kijamii na nimegundua mambo kadhaa.
1: Kwa mtazamo wangu nikama vile askari (baadhi yao)walikua wanaunga mkono maandamano. Maana mpaka mtu kwenda kumwambia askari nifanye chochote uone 😂😂😂😂 sijui kama ni Tanzania ingekuaje
2: Yale maji ya washawasha waliyokua wakitumia askari nadhani hayakua makali. Au yanaweza yakawa sawa na maji yaliyokua kwenye magari ya zimamoto.
3: Aidha nimegundua kwamba Kenya ni nchi ambayo siku za mbeleni haitakua na viongozi wezi, wababe, wafujaji, wenye kibri na dhuluma dhidi ya wananchi.
4: Nimegundua kwamba Kenya kwa asilimia kubwa wanafuatilia siasa, vijana kwa wazee na katika kusimamia haki hawaogopi.
5. Suala la ukada na uchawa hakina nafasi kubwa sana kwenye haki za wakenya tofauti na nchi nyingine za afrika mashabiki
Kwamaana nyingine naweza kusema vijana wa Kenya(maarufu kama Generation Z)hawatapoa mpaka Kenya yenyewe na viongozi wake wapoe.