kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Polisi aliambiwa "hunifanyi lolote" kwa kuwa vijana wanaelewa maana ya maandamano, kuwa ni haki yao. Tz huthubutu kwa kuwa polisi hawaelewi maana ya haki iliyopo kwenye katiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kaandika vitu vinavyoeleweka kabisa nashanga kuona unamjibu kana kwamba imekatwa kichwa.umeanzisha ligi, wakati hao wakenya hawana ata ardhi ya kumiliki wenyewe yaani uhuru wao ni wa makaratasi wewe unawapigia mapambio hao vibaraka wa wazungu?
Elimu wanayopewa Wakenya inawafanya wajitambua tofauti na Tanzagiza.Wanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana.
Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana wakiandamana kupinga muswada wa fedha wa 2024/2025. Mengi tumeyaona kwenye mitandao ya kijamii na nimegundua mambo kadhaa.
1: Kwa mtazamo wangu nikama vile askari (baadhi yao)walikua wanaunga mkono maandamano. Maana mpaka mtu kwenda kumwambia askari nifanye chochote uone 😂😂😂😂 sijui kama ni Tanzania ingekuaje
2: Yale maji ya washawasha waliyokua wakitumia askari nadhani hayakua makali. Au yanaweza yakawa sawa na maji yaliyokua kwenye magari ya zimamoto.
3: Aidha nimegundua kwamba Kenya ni nchi ambayo siku za mbeleni haitakua na viongozi wezi, wababe, wafujaji, wenye kibri na dhuluma dhidi ya wananchi.
4: Nimegundua kwamba Kenya kwa asilimia kubwa wanafuatilia siasa, vijana kwa wazee na katika kusimamia haki hawaogopi.
5. Suala la ukada na uchawa hakina nafasi kubwa sana kwenye haki za wakenya tofauti na nchi nyingine za afrika mashabiki
Kwamaana nyingine naweza kusema vijana wa Kenya(maarufu kama Generation Z)hawatapoa mpaka Kenya yenyewe na viongozi wake wapoe.
Kwa kiasi kikubwa umepatia, ila no 1. Askari wa Kenya ni wakatili sana na wanaua kama wa Bongo tu. Ila walikuwa wanaogopa kwa sababu Kenya A. wananchi ni wakali sana na polisi akiua wana-react. B. Kwa miaka hii ya sasa serikali ya Kenya imejitahidi sana kwenye demokrasia na kuna chombo kinacholisimamia jeshi la polisi na kutoa hukumu iwapo polisi wanakwenda kinyume na maadili.Wanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana.
Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana wakiandamana kupinga muswada wa fedha wa 2024/2025. Mengi tumeyaona kwenye mitandao ya kijamii na nimegundua mambo kadhaa.
1: Kwa mtazamo wangu nikama vile askari (baadhi yao)walikua wanaunga mkono maandamano. Maana mpaka mtu kwenda kumwambia askari nifanye chochote uone 😂😂😂😂 sijui kama ni Tanzania ingekuaje
2: Yale maji ya washawasha waliyokua wakitumia askari nadhani hayakua makali. Au yanaweza yakawa sawa na maji yaliyokua kwenye magari ya zimamoto.
3: Aidha nimegundua kwamba Kenya ni nchi ambayo siku za mbeleni haitakua na viongozi wezi, wababe, wafujaji, wenye kibri na dhuluma dhidi ya wananchi.
4: Nimegundua kwamba Kenya kwa asilimia kubwa wanafuatilia siasa, vijana kwa wazee na katika kusimamia haki hawaogopi.
5. Suala la ukada na uchawa hakina nafasi kubwa sana kwenye haki za wakenya tofauti na nchi nyingine za afrika mashabiki
Kwamaana nyingine naweza kusema vijana wa Kenya(maarufu kama Generation Z)hawatapoa mpaka Kenya yenyewe na viongozi wake wapoe.
Kwahiyo kinachofanya tujivunie kama vijana wakitz nikumilikibaridhi??? Mjaribu kutembea au kusoma kuihusu Dunia huenda mitizamo yenu ikabadilika,,,,uholanzi aridhi inamilikiwa na serikali vip umewakaribia japo kidogo ??umeanzisha ligi, wakati hao wakenya hawana ata ardhi ya kumiliki wenyewe yaani uhuru wao ni wa makaratasi wewe unawapigia mapambio hao vibaraka wa wazungu?
Hapa kwetu kwenyewe ardhi ni mali ya Raisi kwa hili Likatiba letu, aache kuhadaa watu.Kwahiyo kinachofanya tujivunie kama vijana wakitz nikumilikibaridhi??? Mjaribu kutembea au kusoma kuihusu Dunia huenda mitizamo yenu ikabadilika,,,,uholanzi aridhi inamilikiwa na serikali vip umewakaribia japo kidogo ??
Eti oo hawamiliki aridhi huyu jamaa vip?? Nchi inapaswa kuwa na mazingira wezeshi hayo ya aridhi ukiwa na Hela Dunia yote ipo wazi,,,,watu wapo bongo wanamiliki nyumba sauzi,,,,Hapa kwetu kwenyewe ardhi ni mali ya Raisi kwa hili Likatiba letu, aache kuhadaa watu.
... 'tofauti na nchi zingine za Afrika mashariki'... Waapii?Wanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana.
Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana wakiandamana kupinga muswada wa fedha wa 2024/2025. Mengi tumeyaona kwenye mitandao ya kijamii na nimegundua mambo kadhaa.
1: Kwa mtazamo wangu nikama vile askari (baadhi yao)walikua wanaunga mkono maandamano. Maana mpaka mtu kwenda kumwambia askari nifanye chochote uone 😂😂😂😂 sijui kama ni Tanzania ingekuaje
2: Yale maji ya washawasha waliyokua wakitumia askari nadhani hayakua makali. Au yanaweza yakawa sawa na maji yaliyokua kwenye magari ya zimamoto.
3: Aidha nimegundua kwamba Kenya ni nchi ambayo siku za mbeleni haitakua na viongozi wezi, wababe, wafujaji, wenye kibri na dhuluma dhidi ya wananchi.
4: Nimegundua kwamba Kenya kwa asilimia kubwa wanafuatilia siasa, vijana kwa wazee na katika kusimamia haki hawaogopi.
5. Suala la ukada na uchawa hakina nafasi kubwa sana kwenye haki za wakenya tofauti na nchi nyingine za afrika mashabiki
Kwamaana nyingine naweza kusema vijana wa Kenya(maarufu kama Generation Z)hawatapoa mpaka Kenya yenyewe na viongozi wake wapoe.
kweli3: Aidha nimegundua kwamba Kenya ni nchi ambayo siku za mbeleni haitakua na viongozi wezi, wababe, wafujaji, wenye kibri na dhuluma dhidi ya wananchi.
Inawezekana huijuii Kenya vizurii wewe point ya kwanza na ya pili upo sahihi,,,,,Wanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana.
Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana wakiandamana kupinga muswada wa fedha wa 2024/2025. Mengi tumeyaona kwenye mitandao ya kijamii na nimegundua mambo kadhaa.
1: Kwa mtazamo wangu nikama vile askari (baadhi yao)walikua wanaunga mkono maandamano. Maana mpaka mtu kwenda kumwambia askari nifanye chochote uone 😂😂😂😂 sijui kama ni Tanzania ingekuaje
2: Yale maji ya washawasha waliyokua wakitumia askari nadhani hayakua makali. Au yanaweza yakawa sawa na maji yaliyokua kwenye magari ya zimamoto.
3: Aidha nimegundua kwamba Kenya ni nchi ambayo siku za mbeleni haitakua na viongozi wezi, wababe, wafujaji, wenye kibri na dhuluma dhidi ya wananchi.
4: Nimegundua kwamba Kenya kwa asilimia kubwa wanafuatilia siasa, vijana kwa wazee na katika kusimamia haki hawaogopi.
5. Suala la ukada na uchawa hakina nafasi kubwa sana kwenye haki za wakenya tofauti na nchi nyingine za afrika mashabiki
Kwamaana nyingine naweza kusema vijana wa Kenya(maarufu kama Generation Z)hawatapoa mpaka Kenya yenyewe na viongozi wake wapoe.
Sio hivyo ndugu bali Kenya kwa sasa inaogopa sana ICC ndio maana unaona viongozi ni wapole hawataki kutumia nguvu.Serikali inayojishtukia kwamba ina uwalakini katika utendaji plus makandokando, huwa haina meno, hata kama inayo huwa inang'ata kwa hofu sana.
Unawatwangaje raia ambao unajua kabisa wako almost 100% correct?
Wanasema - Mwenge oooh mwenge, mbio mbiooo!!!CCM wanasemaje kuhusu hilii
UJAGUNDUA LOLOTE NI KATIBA NA SHERIA NDIZO ZINAFATILIWA SIO HUKU POLISI AU KIONGOZI ANAKUWA JUU YA SHERIAWanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana.
Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana wakiandamana kupinga muswada wa fedha wa 2024/2025. Mengi tumeyaona kwenye mitandao ya kijamii na nimegundua mambo kadhaa.
1: Kwa mtazamo wangu nikama vile askari (baadhi yao)walikua wanaunga mkono maandamano. Maana mpaka mtu kwenda kumwambia askari nifanye chochote uone 😂😂😂😂 sijui kama ni Tanzania ingekuaje
2: Yale maji ya washawasha waliyokua wakitumia askari nadhani hayakua makali. Au yanaweza yakawa sawa na maji yaliyokua kwenye magari ya zimamoto.
3: Aidha nimegundua kwamba Kenya ni nchi ambayo siku za mbeleni haitakua na viongozi wezi, wababe, wafujaji, wenye kibri na dhuluma dhidi ya wananchi.
4: Nimegundua kwamba Kenya kwa asilimia kubwa wanafuatilia siasa, vijana kwa wazee na katika kusimamia haki hawaogopi.
5. Suala la ukada na uchawa hakina nafasi kubwa sana kwenye haki za wakenya tofauti na nchi nyingine za afrika mashabiki
Kwamaana nyingine naweza kusema vijana wa Kenya(maarufu kama Generation Z)hawatapoa mpaka Kenya yenyewe na viongozi wake wapoe.
Namba 4. hiyo ipo vizuri sana Kenya...Huku kwetu wapo Bize na Mapiano, Mondi, Crown, Konde Gang n.kWanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana.
Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana wakiandamana kupinga muswada wa fedha wa 2024/2025. Mengi tumeyaona kwenye mitandao ya kijamii na nimegundua mambo kadhaa.
1: Kwa mtazamo wangu nikama vile askari (baadhi yao)walikua wanaunga mkono maandamano. Maana mpaka mtu kwenda kumwambia askari nifanye chochote uone 😂😂😂😂 sijui kama ni Tanzania ingekuaje
2: Yale maji ya washawasha waliyokua wakitumia askari nadhani hayakua makali. Au yanaweza yakawa sawa na maji yaliyokua kwenye magari ya zimamoto.
3: Aidha nimegundua kwamba Kenya ni nchi ambayo siku za mbeleni haitakua na viongozi wezi, wababe, wafujaji, wenye kibri na dhuluma dhidi ya wananchi.
4: Nimegundua kwamba Kenya kwa asilimia kubwa wanafuatilia siasa, vijana kwa wazee na katika kusimamia haki hawaogopi.
5. Suala la ukada na uchawa hakina nafasi kubwa sana kwenye haki za wakenya tofauti na nchi nyingine za afrika mashabiki
Kwamaana nyingine naweza kusema vijana wa Kenya(maarufu kama Generation Z)hawatapoa mpaka Kenya yenyewe na viongozi wake wapoe.
KAtika kadhia kama Hii iliyotokea Kenya sidhani kama viongozi wa chama TAWALA wanaweza sema chochote maana wana mashaka Jamii ya vijana ambao ndio wengi wamepokea je. Wana hofu kuliongelea sana maana ni rahisi kuamsha hasira bila kujua, hivyo ni vema kwao kukaa kimya au kuongea kwa tahadhari kubwa huku wakionesha kuwa hawana upande. Lakini kimsingi wanaogopa sana haya yasije wakuta itakuwa patashika nguo kuchanika. Mungu tuepisheCCM wanasemaje kuhusu hilii
Uko sahihi sana kwa haya maelezo yako.Subiri tuone
Ila nilichogundua watanzania wanaoshabikia vurugu za kenya hawana uelewa wa siasa wala sio wapenzi wa siasa ila wamedandia siasa baada ya kuona kuna maandamano ndio maana hata michango yao humu inashangaza. Wengi wana weledi katika mabishano ya simba na yanga habari za wapenzi wa wasanii mbalimbali kwamba mtu hata akiachika leo wao wanajua, mtu anaweza kuodhesha wapenzi wote msanii allowahi kutembea nao. na umbea. Watu wasioweza hata kuchambua issue yeyote ya kisiasa.
Hata uchaguzi utakaokuja 2025 wanaweza wasipge kura .
Kuwa key board warrior kwao ni ujanja..
Nchi hii ukombozi wa kweli dhidi ya ufisadi uko mbali sana kwa aina hii ya watu.
Wanasiasa wa Tanganyika waraendelea kupeta maana wanajua watanganyika ni kama kaa ( crabs) ukiwaweka katika kapu ukaondoka ukirudi utawakuta wamo humo humo maana kila kaa mmoja anamvuta mwenzake anayejaribu kupanda juu ya kapu ili atoke katika kapu..
Kwa Tanganyika labda watoto wanaozaliwa kuanzia miaka hii ya 2020 na kuendelea waje walete nabadilko wakiwa watu wazima lakini sio aina hii ya hawa waliozaliwa miaka 2000 kurudi nyuma ( mtazamo wqngu).
Umesema ukweli kabisa!K
KAtika kadhia kama Hii iliyotokea Kenya sidhani kama viongozi wa chama TAWALA wanaweza sema chochote maana wana mashaka Jamii ya vijana ambao ndio wengi wamepokea je. Wana hofu kuliongelea sana maana ni rahisi kuamsha hasira bila kujua, hivyo ni vema kwao kukaa kimya au kuongea kwa tahadhari kubwa huku wakionesha kuwa hawana upande. Lakini kimsingi wanaogopa sana haya yasije wakuta itakuwa patashika nguo kuchanika. Mungu tuepishe
Ahsante kwa mchango mkuuSubiri tuone