Mambo niliyogundua kutokana na maandamano nchini Kenya

Polisi aliambiwa "hunifanyi lolote" kwa kuwa vijana wanaelewa maana ya maandamano, kuwa ni haki yao. Tz huthubutu kwa kuwa polisi hawaelewi maana ya haki iliyopo kwenye katiba.
 
Elimu wanayopewa Wakenya inawafanya wajitambua tofauti na Tanzagiza.
 
Kwa kiasi kikubwa umepatia, ila no 1. Askari wa Kenya ni wakatili sana na wanaua kama wa Bongo tu. Ila walikuwa wanaogopa kwa sababu Kenya A. wananchi ni wakali sana na polisi akiua wana-react. B. Kwa miaka hii ya sasa serikali ya Kenya imejitahidi sana kwenye demokrasia na kuna chombo kinacholisimamia jeshi la polisi na kutoa hukumu iwapo polisi wanakwenda kinyume na maadili.
2. Hayo maji una uhakika hayakuwa yanawasha? Hukuona hata mabomu ya machozi hayawababaishi?
 
umeanzisha ligi, wakati hao wakenya hawana ata ardhi ya kumiliki wenyewe yaani uhuru wao ni wa makaratasi wewe unawapigia mapambio hao vibaraka wa wazungu?
Kwahiyo kinachofanya tujivunie kama vijana wakitz nikumilikibaridhi??? Mjaribu kutembea au kusoma kuihusu Dunia huenda mitizamo yenu ikabadilika,,,,uholanzi aridhi inamilikiwa na serikali vip umewakaribia japo kidogo ??
 
Kwahiyo kinachofanya tujivunie kama vijana wakitz nikumilikibaridhi??? Mjaribu kutembea au kusoma kuihusu Dunia huenda mitizamo yenu ikabadilika,,,,uholanzi aridhi inamilikiwa na serikali vip umewakaribia japo kidogo ??
Hapa kwetu kwenyewe ardhi ni mali ya Raisi kwa hili Likatiba letu, aache kuhadaa watu.
 
Hapa kwetu kwenyewe ardhi ni mali ya Raisi kwa hili Likatiba letu, aache kuhadaa watu.
Eti oo hawamiliki aridhi huyu jamaa vip?? Nchi inapaswa kuwa na mazingira wezeshi hayo ya aridhi ukiwa na Hela Dunia yote ipo wazi,,,,watu wapo bongo wanamiliki nyumba sauzi,,,,
 
Wakenya wako active hata kwenye kuzisaka fursa. Angalia wafanyabiashara na makampuni ya wakenya yalivyojazana hapa Tanzania.

Angalia wafanyakazi toka Kenya ktk taasisi binafsi na biashara za watu walivyo wengi hapa Tanzania.

Angalia makampuni ya wakenya yalivyojazana hapa Tanzania.

Ndiyo utajua kuwa watanzania wana unyani mwingi kwenye fikra zao.
 
... 'tofauti na nchi zingine za Afrika mashariki'... Waapii?
Kusema tofauti na Tz mate yanakujaa mdomoni?
 
Inawezekana huijuii Kenya vizurii wewe point ya kwanza na ya pili upo sahihi,,,,,

lkn nikwambie Kenya ni nchi iliyojaa ufisadii wa kiwango Cha S.G.R kuanzia kwa M.C.A ambaye ni diwani kwa Tz huku Hadi kwa viongozii wa juu na hakuna uwajibikajii maake Kenya ukimgusa mtu hata kama ni fisadii kiasi gani watu wa kabila lake wataandamana so hicho kimefanya raia wengi wa Kenya Wana maisha mangumu sana kifupi Wana njaa Kali Sana huwezii kulinganisha na Tz.

Kenya Kuna matabaka ya walionacho na wasionacho,

Huwezii ukapata upolisii kenya au kazi yeyote bila kuwa na connection au kuwa na pesa za kutoshaa kutoa rushwaa kwa hiyo mapolisi wengi Kenya wameingizwa tu kwa njia isiyo sahihi.
Kenya kipindii Cha kampenii kuanzia kwa M.C.A,Mbunge, senator na governor bila kuwa na pesa za kutoa rushwa kwa wananchi huwezii kugombea maake wao huwa hawana Muda wa kutoa sera ni mwendo wa kujipaga kwenye magroup na kupewa sh mia au hamsini ya Kenya.
 
Serikali inayojishtukia kwamba ina uwalakini katika utendaji plus makandokando, huwa haina meno, hata kama inayo huwa inang'ata kwa hofu sana.

Unawatwangaje raia ambao unajua kabisa wako almost 100% correct?
Sio hivyo ndugu bali Kenya kwa sasa inaogopa sana ICC ndio maana unaona viongozi ni wapole hawataki kutumia nguvu.
 
UJAGUNDUA LOLOTE NI KATIBA NA SHERIA NDIZO ZINAFATILIWA SIO HUKU POLISI AU KIONGOZI ANAKUWA JUU YA SHERIA
 
Namba 4. hiyo ipo vizuri sana Kenya...Huku kwetu wapo Bize na Mapiano, Mondi, Crown, Konde Gang n.k
 
K
CCM wanasemaje kuhusu hilii
KAtika kadhia kama Hii iliyotokea Kenya sidhani kama viongozi wa chama TAWALA wanaweza sema chochote maana wana mashaka Jamii ya vijana ambao ndio wengi wamepokea je. Wana hofu kuliongelea sana maana ni rahisi kuamsha hasira bila kujua, hivyo ni vema kwao kukaa kimya au kuongea kwa tahadhari kubwa huku wakionesha kuwa hawana upande. Lakini kimsingi wanaogopa sana haya yasije wakuta itakuwa patashika nguo kuchanika. Mungu tuepishe
 
Uko sahihi sana kwa haya maelezo yako.
 
Umesema ukweli kabisa!
 
Ahsante kwa mchango mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…