Mtu Kwao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2019
- 394
- 720
Wapendwa kwema na amini sote tuna endelea kuchukua tahadhari zidi ya magonjwa ya kuambukiza hasa Covid 19.
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza Binafsi nilikuwa nakusikia tu Musoma nanilikuwa sijawahi kufika ila mwanzon mwa mwaka nimebahatika kufika uko Musoma mkoani Mara. Kiukwel nimeshangaa sana maana mawazo niliyokuwa nayo nilidhani musoma nipa ovyo lakini kumbe sivyo machache niliyoyaona ni kama ifuatavyo:
1. Miundominu, Asee huu mji upo vizuri kwenye miundominu kuanzia mitaro had barabara barabara zote za mtaa hasi katikati ya mji ni rami tu pia mpango wa mji uko vizuri sana ila stend ikikamilika basi patazidi kuvutia
2. Bei ya bidhaa, hakika bei ya bidhaa huku imenishanganza sana hasa electronic device ni ya chini mno na affordable.
3. Hali ya hewa huku ni shwari sio joto sana wala baridi sana kuna upepo wa ziwani beach nzuri pia kuna hotel za kutosha lodge ndo usiseme hakika panapendeza sana.
4. Ukarimu wa watu, yani huku watu wakarimu sana na sio wachoyo ukienda kwa mtu unakaribishwa vzr hadi unajihisi upo kwako Pia fursa za biashara ni za kumwaga Chakula cha kutosha nk.
Jamani niliyoyaona Musoma mazuri ni mengi kwa spidi hii basi huu mji miaka 10 ijayo utakuwa jiji
Ni hayo tu wakuu kama unalakuongezea kuhusu musoma karibu sana