Hapo nini mkuu kimekushangaza?
(1) Mji una watu 116,000 unategemea miundombinu itakuaje mibovu. Especially mji wenyewe ndio kitovu cha mkoa.
(2) Electronic bei mfano nini? Huwezi kuniambia USB flash huko itauzwa cheaper kuliko Kariakoo. Unless Kariakoo upigwe.
(3) Hali ya hewa sawa. Pako poa jioni pana ka upepo ila jua linachoma kinoma na sehemu kama stendi vumbi sana.
(4) Hapo ukarimu hapo mh ngoja nikaushe labda ulienda kwa ndugu zako. Msimamishe mtu tu njiani jifanye unamuuliza kitu uone. Kakunja sura ova unamuomba hela.
Huo mji kua jiji sio leo au kesho.