Mambo niliyoyakuta Musoma yamenishangaza sana

Kaa upazoee ndo utakuja na majibu vzr.
Chukua kiwanja ujenge na ufungue biashara.
Ukikaa miaka 5 bado majibu yako ni kama haya ulivyochambua leo basi kutakufaa an kuishi
 
Electronic Device zipi za Kichina? Hizo bei iko Chini kila mahali, na bei kuwa chini nazani unajua pia sababu
Mzigo Unatokea Uganda kupitia Majini/Majahazi inashuka bandari bubu za Ziwa Victoria bila kulipiwa ushuru zinaingia madukani. TV SAMSUNG Og, Nguo, Viatu Safi kabisa bei sawa na bureeee. Anyway unazijua bei Electronics za Zanzibar? Its the same case
 
Kaa upazoee ndo utakuja na majibu vzr.
Chukua kiwanja ujenge na ufungue biashara.
Ukikaa miaka 5 bado majibu yako ni kama haya ulivyochambua leo basi kutakufaa an kuishi
[emoji3][emoji3][emoji3] sio tu kukaa nimeshavuta na chombo nataka nioee
 
IMG_5758.jpg

Wanawake wa Musoma na makeup [emoji23]
 
Hapo nini mkuu kimekushangaza?

(1) Mji una watu 116,000 unategemea miundombinu itakuaje mibovu. Especially mji wenyewe ndio kitovu cha mkoa.

(2) Electronic bei mfano nini? Huwezi kuniambia USB flash huko itauzwa cheaper kuliko Kariakoo. Unless Kariakoo upigwe.

(3) Hali ya hewa sawa. Pako poa jioni pana ka upepo ila jua linachoma kinoma na sehemu kama stendi vumbi sana.

(4) Hapo ukarimu hapo mh ngoja nikaushe labda ulienda kwa ndugu zako. Msimamishe mtu tu njiani jifanye unamuuliza kitu uone. Kakunja sura ova unamuomba hela.

Huo mji kua jiji sio leo au kesho.
Huu mji ni wa watu wabishi! Hapa biashara zake ni China na Dubai direct.
 
Naona na wakurya na wajita nao wameanza kukumbuka kula sikuku kwako saivi Wamejazana huku
 
Wapendwa kwema na amini sote tuna endelea kuchukua tahadhari zidi ya magonjwa ya kuambukiza hasa Covid 19.

Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza Binafsi nilikuwa nakusikia tu Musoma nanilikuwa sijawahi kufika ila mwanzon mwa mwaka nimebahatika kufika uko Musoma mkoani Mara. Kiukwel nimeshangaa sana maana mawazo niliyokuwa nayo nilidhani musoma nipa ovyo lakini kumbe sivyo machache niliyoyaona ni kama ifuatavyo:

1. Miundominu, Asee huu mji upo vizuri kwenye miundominu kuanzia mitaro had barabara barabara zote za mtaa hasi katikati ya mji ni rami tu pia mpango wa mji uko vizuri sana ila stend ikikamilika basi patazidi kuvutia

2. Bei ya bidhaa, hakika bei ya bidhaa huku imenishanganza sana hasa electronic device ni ya chini mno na affordable.

3. Hali ya hewa huku ni shwari sio joto sana wala baridi sana kuna upepo wa ziwani beach nzuri pia kuna hotel za kutosha lodge ndo usiseme hakika panapendeza sana.

4. Ukarimu wa watu, yani huku watu wakarimu sana na sio wachoyo ukienda kwa mtu unakaribishwa vzr hadi unajihisi upo kwako Pia fursa za biashara ni za kumwaga Chakula cha kutosha nk.

Jamani niliyoyaona Musoma mazuri ni mengi kwa spidi hii basi huu mji miaka 10 ijayo utakuwa jiji

Ni hayo tu wakuu kama unalakuongezea kuhusu musoma karibu sana
Hukukutana na wataalama wadada wa kijita?
 
Huo mkoa ni kila familia ina Njagu aka Ma mwela
 
Karibu mkoa wa Mara karibu Musoma mh Rais
Huku hali ni shwari kabisa wananchi wapo bize na shughuli za kujiingizia kipato na kujenga mji wao uzidi kupendeza zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu mkoa wa Mara karibu Musoma mh Rais
Huku hali ni shwari kabisa wananchi wapo bize na shughuli za kujiingizia kipato na kujenga mji wao uzidi kupendeza zaidi
Kumbe ndiyo kwenu huko, hebu mumueleze mheshimiwa juu ya kero za wananchi wanaotakiwa kulipwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege.

Jamaa wanatuma taarifa kuna hujuma inafanywa huko kwenu mura.
 
Huo mkoa ni kila familia ina Njagu aka Ma mwela
Kamkoa ambako wamama hawana ving'amuzi.
Kuna mkurya nimemsikia kwa masikio yangu akisema hawezi kuoa mwanamke ambaye hajapitia kwa ngariba. Nikajisemea kimoyomoyo huyu Kaka hajawahi kufika Uvinza.
 
Back
Top Bottom