mlimakorosho
Member
- Nov 25, 2018
- 8
- 3
Mzigo Unatokea Uganda kupitia Majini/Majahazi inashuka bandari bubu za Ziwa Victoria bila kulipiwa ushuru zinaingia madukani. TV SAMSUNG Og, Nguo, Viatu Safi kabisa bei sawa na bureeee. Anyway unazijua bei Electronics za Zanzibar? Its the same caseElectronic Device zipi za Kichina? Hizo bei iko Chini kila mahali, na bei kuwa chini nazani unajua pia sababu
[emoji3][emoji3][emoji3] sio tu kukaa nimeshavuta na chombo nataka nioeeKaa upazoee ndo utakuja na majibu vzr.
Chukua kiwanja ujenge na ufungue biashara.
Ukikaa miaka 5 bado majibu yako ni kama haya ulivyochambua leo basi kutakufaa an kuishi
Huu mji ni wa watu wabishi! Hapa biashara zake ni China na Dubai direct.Hapo nini mkuu kimekushangaza?
(1) Mji una watu 116,000 unategemea miundombinu itakuaje mibovu. Especially mji wenyewe ndio kitovu cha mkoa.
(2) Electronic bei mfano nini? Huwezi kuniambia USB flash huko itauzwa cheaper kuliko Kariakoo. Unless Kariakoo upigwe.
(3) Hali ya hewa sawa. Pako poa jioni pana ka upepo ila jua linachoma kinoma na sehemu kama stendi vumbi sana.
(4) Hapo ukarimu hapo mh ngoja nikaushe labda ulienda kwa ndugu zako. Msimamishe mtu tu njiani jifanye unamuuliza kitu uone. Kakunja sura ova unamuomba hela.
Huo mji kua jiji sio leo au kesho.
Mbona unamajibu ya ovyo kwa wenzioKwani sisi ndiyo tulikupa hizo sifa mbaya za Musoma hapo kabla?
Mr.Gamba?Umesahau kutembelea ofisi ya elimu mkoa wa Mara, ukutane na afisaelimu mkoa asiyejali elimu kwa mkoa wetu wa Mara.
Haha mbuga za wanyama wa bunadamu ndo zipi hizoUsiache kwenda club metro....au embassy club ziko karibu kuna mbugaa za wanyama wa binadamu hapo
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Hukukutana na wataalama wadada wa kijita?Wapendwa kwema na amini sote tuna endelea kuchukua tahadhari zidi ya magonjwa ya kuambukiza hasa Covid 19.
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza Binafsi nilikuwa nakusikia tu Musoma nanilikuwa sijawahi kufika ila mwanzon mwa mwaka nimebahatika kufika uko Musoma mkoani Mara. Kiukwel nimeshangaa sana maana mawazo niliyokuwa nayo nilidhani musoma nipa ovyo lakini kumbe sivyo machache niliyoyaona ni kama ifuatavyo:
1. Miundominu, Asee huu mji upo vizuri kwenye miundominu kuanzia mitaro had barabara barabara zote za mtaa hasi katikati ya mji ni rami tu pia mpango wa mji uko vizuri sana ila stend ikikamilika basi patazidi kuvutia
2. Bei ya bidhaa, hakika bei ya bidhaa huku imenishanganza sana hasa electronic device ni ya chini mno na affordable.
3. Hali ya hewa huku ni shwari sio joto sana wala baridi sana kuna upepo wa ziwani beach nzuri pia kuna hotel za kutosha lodge ndo usiseme hakika panapendeza sana.
4. Ukarimu wa watu, yani huku watu wakarimu sana na sio wachoyo ukienda kwa mtu unakaribishwa vzr hadi unajihisi upo kwako Pia fursa za biashara ni za kumwaga Chakula cha kutosha nk.
Jamani niliyoyaona Musoma mazuri ni mengi kwa spidi hii basi huu mji miaka 10 ijayo utakuwa jiji
Ni hayo tu wakuu kama unalakuongezea kuhusu musoma karibu sana
Haka kabinti tangu msiba wa taifa kamepotea sanaKwani sisi ndiyo tulikupa hizo sifa mbaya za Musoma hapo kabla?
Huo mkoa ni kila familia ina Njagu aka Ma mwelaWapendwa kwema na amini sote tuna endelea kuchukua tahadhari zidi ya magonjwa ya kuambukiza hasa Covid 19.
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza Binafsi nilikuwa nakusikia tu Musoma nanilikuwa sijawahi kufika ila mwanzon mwa mwaka nimebahatika kufika uko Musoma mkoani Mara. Kiukwel nimeshangaa sana maana mawazo niliyokuwa nayo nilidhani musoma nipa ovyo lakini kumbe sivyo machache niliyoyaona ni kama ifuatavyo:
1. Miundominu, Asee huu mji upo vizuri kwenye miundominu kuanzia mitaro had barabara barabara zote za mtaa hasi katikati ya mji ni rami tu pia mpango wa mji uko vizuri sana ila stend ikikamilika basi patazidi kuvutia
2. Bei ya bidhaa, hakika bei ya bidhaa huku imenishanganza sana hasa electronic device ni ya chini mno na affordable.
3. Hali ya hewa huku ni shwari sio joto sana wala baridi sana kuna upepo wa ziwani beach nzuri pia kuna hotel za kutosha lodge ndo usiseme hakika panapendeza sana.
4. Ukarimu wa watu, yani huku watu wakarimu sana na sio wachoyo ukienda kwa mtu unakaribishwa vzr hadi unajihisi upo kwako Pia fursa za biashara ni za kumwaga Chakula cha kutosha nk.
Jamani niliyoyaona Musoma mazuri ni mengi kwa spidi hii basi huu mji miaka 10 ijayo utakuwa jiji
Ni hayo tu wakuu kama unalakuongezea kuhusu musoma karibu sana
Kumbe ndiyo kwenu huko, hebu mumueleze mheshimiwa juu ya kero za wananchi wanaotakiwa kulipwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege.Karibu mkoa wa Mara karibu Musoma mh Rais
Huku hali ni shwari kabisa wananchi wapo bize na shughuli za kujiingizia kipato na kujenga mji wao uzidi kupendeza zaidi
Kamkoa ambako wamama hawana ving'amuzi.Huo mkoa ni kila familia ina Njagu aka Ma mwela