Mambo niliyoyakuta Musoma yamenishangaza sana

Kamkoa ambako wamama hawana ving'amuzi.
Kuna mkurya nimemsikia kwa masikio yangu akisema hawezi kuoa mwanamke ambaye hajapitia kwa ngariba. Nikajisemea kimoyomoyo huyu Kaka hajawahi kufika Uvinza.
Haha haha wote wamepigwa na kitu chenye ncha kali ndio maana wanawaza pesa tu
 
Acha unaa mimi nimepita mji huo.
Kiujumla watu wa Musoma ni wakarimu, sema ukiingia na sera zako mbaya za kwingineko, utaondoka nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…