#COVID19 Mambo niliyoyaona baada ya kupata chanjo leo

Kwa hiyo ukitaka kwenda kwa malkia Elizaberth watakujuaje umeliwa ndugu
 
Kichanjwa bila kupata cheti itakupa shida mbele ya safari kama wewe ni mtu wa kusafiri nje ya nchi, hakikisha unapata cheti
 
Genge la Magufuli linalotaka tusichanje ionekane alikuwa right litabaki yatima.

Mimi kesho naenda kuchanja.
 
Wapuuzi mtakuja kujuta
Endeleeni kujikuta wajanja now
 
Chanjeni mbuga kiasi cha kutosha
 
Muhimu chanjo kama umechnjwa hayo mambo ya cheti ACHANA NAYO maadam DAWA imekuingia sawasawa.

Zingatia kuuliza ile chanjo ya pili itaingia lini? Isije kuwa batch hii, zingine ikawa kusuasua.
Mi nimechanja single kick
 
... mkuu nenda kachanje; afya ni yako! Ukiyasikiliza hayo mataahira yasiyojua hata "test tube" inafananaje utapotea.
Kwahiyo kukataa kuchanja ni utaahira?! Achs dharau zako bibie kila mmoja anajua anachokufanya, unataka kusema kujua test tube ndy uende kuchanja?? Come on usiingilie Maisha ya watu mrembo
 
Mimi nimepata meseji kwenye simu yangu kwamba nimechanja wakati sijaenda! Hii imekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…