Waungwana nisikilizeni kwa makini.Mzunguko wa magharibi kwenda mashariki ni mwepesi.Mtu angeweza kuzunguka kutoka kaskazini kwenda kusaini na akarudi palepale alikoanzia kwa sababu dunia ni duara.Vikwazo: Ncha ya kaskazini barafu muda wote.Ncha ya kusini ni barafu muda wote. Watu huko hawaishi yaani hawapo.Kwa barafu ilivyo hakuna chombo chochote cha usafi cha kawaida kinachoweza kwenda huko.Huko hakuna cha kufuata cha maana katika maisha ya kawaida. Ndege ya kawaida haiwezi kutua ama kuruka.Hakuna mtu aliyekuwa tayari kwenda kupanda huko.Habari ya chungwa, bemuda na fikra zingine sio za kweli.Swala ni vigumu kupata sehemu salama ya kuanzia safari.Kusini kuna Antarctica, kaskazini kuna Arctic,zote hizo ni ardhi zilizofunikwa kwa barafu.