Mambo sita ambayo mwanaume yeyote anapaswa kuyasoma

Jambo la kwanza, wavulana huingia kwenye uanaume pale wanapoanza kuelewa kwamba,hakuna anayewajali kama hawana mchango wowote katika maisha,kama unataka kuwa mwanaume basi onyesha thamani yako katika maisha.

Jambo la pili, jifanye hauna uwezo wa kupata mkate wako wa kila siku mpaka pale watakapo kuja kugundua unamiliki bakery ya mikate. Naam kuwa humble hata kama uko fresh kimaisha ishi katika low profile,waache wenyewe siku wagundue kumbe wewe ni mtamu kama asali.

Jambo la tatu,kama utakutana na mtu ana akili mingi kushinda wewe basi usishindane nae ila shirikiana. nae,achana na ule upuuzi wacha nimuonyeshe mimi ni nani, hautafika popote just be the legend

Jambo la nne,ukitaka kuwa wewe kama wewe basi kuwa tayar kukimbiwa na watu wengi sana,kwakawaida ukiwa na misimamo yako na kutaka kuishi maisha yako kuna ambao wenyewe watajiondoa katika maisha yako

Jambo la tano,namna bora ya kufanikiwa ni kuanza kufanya mambo yako sasa na mambo mengine utakutana nayo huko mbeleni,kumbuka huwezi kujifunza gari likiwa limepaki bali likianza kutembea

Jambo la sita,kwakuwa mtu fulani ni ndugu yako au sehemu ya familia yako haimaanishi,eti uvumilie uongo,drama,kuvunjiana heshima na kadhalika,maisha hayako hivyo kila kitu lazima kichukue nafasi yake

Ni hayo tu!
Jambo la saba: Usioe wala usiishi na mwanamke kinyumba!
 
Dah Sema mwanangu nawakosa watoto wazuri aseeh
Boss iko hivi kama unawataka watoto wazuri kwa ajili ya good time jipaishe 😂😂

Ika kama unataka wa kuishi kwa shida na raha ni stahili nzur kwa maoni yangu
 
Sawa baba ottoman
 
Boss iko hivi kama unawataka watoto wazuri kwa ajili ya good time jipaishe 😂😂

Ika kama unataka wa kuishi kwa shida na raha ni stahili nzur kwa maoni yangu
Mzee baba kwa malengo niliyonayo afu nyuma Nina familia ya watu 5 nashindwa sipo radhi kufurahisha mwanamke afu familia(mzazi na wadogo zangu ) ilale njaa
 
Jambo la kwanza, wavulana huingia kwenye uanaume pale wanapoanza kuelewa kwamba,hakuna anayewajali kama hawana mchango wowote katika maisha,kama unataka kuwa mwanaume basi onyesha thamani yako katika maisha.

Jambo la pili, jifanye hauna uwezo wa kupata mkate wako wa kila siku mpaka pale watakapo kuja kugundua unamiliki bakery ya mikate. Naam kuwa humble hata kama uko fresh kimaisha ishi katika low profile,waache wenyewe siku wagundue kumbe wewe ni mtamu kama asali.

Jambo la tatu,kama utakutana na mtu ana akili mingi kushinda wewe basi usishindane nae ila shirikiana. nae,achana na ule upuuzi wacha nimuonyeshe mimi ni nani, hautafika popote just be the legend

Jambo la nne,ukitaka kuwa wewe kama wewe basi kuwa tayar kukimbiwa na watu wengi sana,kwakawaida ukiwa na misimamo yako na kutaka kuishi maisha yako kuna ambao wenyewe watajiondoa katika maisha yako

Jambo la tano,namna bora ya kufanikiwa ni kuanza kufanya mambo yako sasa na mambo mengine utakutana nayo huko mbeleni,kumbuka huwezi kujifunza gari likiwa limepaki bali likianza kutembea

Jambo la sita,kwakuwa mtu fulani ni ndugu yako au sehemu ya familia yako haimaanishi,eti uvumilie uongo,drama,kuvunjiana heshima na kadhalika,maisha hayako hivyo kila kitu lazima kichukue nafasi yake

Ni hayo tu!
Umeeleweka bro.....
 
as a man
Screenshot_20240911-090933~2.jpg
 
Back
Top Bottom