Mambo tuliokua tunadanywa/kudhania kipindi cha utoto!

Mimi nakumbuka walikua wakisema ukinyoshea kaburi kidole,kidole kinapinda hivyo tulikua tunakunja ngumi ndo tunanyooshea makaburii kumuelekeza MTU!
 
Hahahaha umenikumbusha neno spesheli
 
Mimi nilikua nawaza kama nitaweza kuendesha gari huku nikiwa naongea[emoji23][emoji23]
 
Mimi nilikua nawaza kama nitaweza kuendesha gari huku nikiwa naongea[emoji23][emoji23]
Hahaha kwahio ulihisi gariii ni kitu gani katika zile imaginations zako ?
 
Hiyo ya kununua watoto karibu kila mtu alidanganywa
Sisi tuliambiwa uking'oa jino wakati wa kutupa ni lazima utamke maneno la sivyo halioti
Nywele ni lazima utupe chooni ukitupa ovyo hazioti
Hahahaaa.....umenikumbusha mbali....nling'oa jino asubuh shulen nikaliweka mkononi had nliporud hom ili tu nkalitupe juu bati.....eti la sivyo halioti!
 
Hahaha utoto bhn anyway wazee wa zamani kwa zle mbinu zao za kuwafunza watoto zilikua konkii sna tofauti na sasa hiv
Hahahaaa.....umenikumbusha mbali....nling'oa jino asubuh shulen nikaliweka mkononi had nliporud hom ili tu nkalitupe juu bati.....eti la sivyo halioti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…