Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
hii ndio point
usikatishe wengine tamaa kwa sababu tu ulifeli ukashindwa
huwezi jua mwenzako atafanyaje na akatoka kupitia hicho unachomkatisha nacho tamaa
sio kwasababu unaona unachofanya kina faida ukafikiri kila mtu atafanya hicho
jiulize unasema kilimo hasara ila watu wanalima na wana ushuhuda nacho kwa kilivyowatoa
unakazanaje kukomalia eti mtu asikudanganye chochote kwenye kilimo,wewe sema ulifeli
then tulia zako, watu hawashuhudiii Failures zao watu tunashuhudia Ushindi Tu ili alie chini ainuke,apate nguvu ya kusimama
sasa kila mtu akisema changamoto anazopitia kwenye kile anafanya unafikir nani atakua "mjasiriamali"
Jifunze kukaaa kimya kwa mambo uliyojaribu kufanya yakakushinda.
Naona umenikomalia kweli..😅 kwahy woote walosema haiwezekan umeshindwa kuwaeleza😅!ngoja nikuweke ignore list!nipunguze jam!