Mambo unayoweza kuyafanya kwa fedha kiasi cha Laki tano



Naona umenikomalia kweli..😅 kwahy woote walosema haiwezekan umeshindwa kuwaeleza😅!ngoja nikuweke ignore list!nipunguze jam!
 


Naona umenikomalia kweli..😅 kwahy woote walosema haiwezekan umeshindwa kuwaeleza😅!ngoja nikuweke ignore list!nipunguze jam!
 
uko sahihi mkuuu,heri wewe unasema sehemu unakodisha kwa chini ya 50k,ila nakuhakikishia zipo sehemu nyingi zinazokodishwa bure bureeeeeeeee unalima then unamlipa mwenye shamba lake pesa baada ya mavuno shambani.

kuna sehemu watu wanatoa huduma ya kuandaa shamba A-Z wewe mpe chakula tu then mshahara wake utampa baada ya mavuno,itategemea na makubaliano yenu.

tatizo watu wameona laki 5 halafu anataka alime kilimo anacholima masanja (kilimo cha kisasa) jamani wengine hapa ni mashahidi tuna ma bibi na ma babu huko vijijini,wana mashamba wanayalima kwa dawa za asili kabsa na wanavuna vizuri tu,na nguvu kazi ya kilimo si lazima kila kitu ulipe watu "hivi leo ukahamia kijijini ukatengeneza marafiki hautolima"

nina mfano ulio hai kijiji cha baba angu huko wakitaka kulima wanaungana,leo wanalima shamba la flani vijana wote,wanamaliza,kesho wanaingia la mwenzao wanamaliza, palizi hivyo hvyo mpk uvunaji ni hivyo hivyo.

malipo yao ni siku tupo kwenye shmba lako,wewe utatulisha mpk tunamaliza kazi,tukenda shamba la mwingine nae anatulisha mpk tunamaliza (hawana kutumia hela) tatizo watu wapo kutaka kutumia hela kila mahali,asee pesa sio kila kitu hata ukipewa mil.10 uambiwe ulime unaweza isitoshe kama utaamua kutumia hela kila sehemu.

Humu watu wanajua kukatisha watu tamaaa tu,hamna kazi isiyo nafaida na kama ipo basi kazi ya kwanza isiyo na faida ni hiyo unayoifanya sasa hivi (maana yupo mtu hata kwa bakora umwambie aifanye hiyo kazi yako hawezi ifanya)

Tusikatishe watu tamaaa hapa,kama yamekushinda basi yamekushinda wewe na bichwa lako waacheni wengine wafanye msifikir wote wana mabichwa kama yenu mlioshindwa
 
Naona umenikomalia kweli..😅 kwahy woote walosema haiwezekan umeshindwa kuwaeleza😅!ngoja nikuweke ignore list!nipunguze jam!
sijakukomalia huwa mtu akijipendekeza kuni quote huwa lazima nimpe yake,sikukutuma uni quote na sijawafata wengine kwasababu hawaja ni quote wao wameongea yao ya moyoni ila wewe umeona unakereketwa na comment yangu ukaona uni quote kabisa,aseeee mimi ukijipendekeza kwangu lazima nikupe makavu yako.

ukiniweka kwenye ignore list utakua umefanya jambo la maana kuwahi tokea tangu dunia iumbwe au tangu uamue jiunga na JF,usipende jipendekeza quote quote watu usiowajua,acha kisebu sebu bibi wewe.

Upunguze jam ushawahi niona nikiunga foleni kwako? never on earth punguza jam kwa hao wanaokufata fata not me ndio mana hujawahi ona niki quote comment yako kijinga jinga ila wewe na kuwashwa washwa kwako unaona naandika unaamua ni quote acha mazoea we kistuli.
 
Kilimo ni hisabati Kali sana na wengi wanapata namba za viatu...

Mashamba yapo mengi... Nimesha uziwa mashamba hekari 10,000/-, 20,000/- vijijini huko una chukua hekari 20, 40, una hifadhi na una wapa walio kuuzia tumieni zalisheni hapa wana kusaidia kulisafisha zaidi kama walikupa pori...

Una kuja baada ya muda una liwekea mipango mkakati ili lizalishe sasa... Una kuta tuna panda korosho na tuna lima mazao ya muda mfupi vilevile kwa pamoja, utavuna mazao yako ya muda mfupi na korosho za muda mrefu zina endelea kukua...

Kilimo hisabati ambazo huwezi kuambiwa njia iliyo tumika wewe utapewa swali na jibu... Ukisema uongo kalagabao... Kila MTU abaki na jibu lake

Hatupo kubishana,

Prof jay ana sema ukinicheka shambani Mimi nitakucheka sokoni...
 
Ukweli mtupu, kilimo kinalipa ili mradi tu uwe tayari kukabiliana na changamoto zake.
 
Laki 5 simple like that???
Aisee sio rahisi hivo..Field sio rahisi namna hiyo.Na kama ni rahisi hivo wengi wangeshatoboa.Watu wamekomaa wamechoma mpaka pesa za mikopo.
Ingia field kwa ushauri wa kipambuvu hivi then utakuja kutupa majibu..
 
Technics+Timing
 


There u r!kilimo kinalipa ukilima in bulk..sio kwa eka 5hizi tunazolima sisi!...n kilimo kinalipa zaidi ukiongeza thamani!
Tikiti lima liprocess liwe juic uza..hapo sawa!
Lima hindi saga unga paki
 
Naona wachambuzi wako vizuri! Vipi ukianzia hyo laki tano ukakua kidogo kidogo huku ukipata uzoefu?
Tatizo ni kiwango, hiyo laki tano ni ndogo sana kuanzia shughuri ya kilimo, na utegemee, kukua, sana sana labda ulime tuta tano za mchicha! Na hapo hadi uziuze pesa yote umeshaitumia kwenye kula!!
 
Hadithi za nini lete mchanguo wa hicho kilimo ambacho utatumia laki tano!! Upate hayo mamilioni!!!!!achana na mambo mala watu wanalimiana bure, huo utaratibu una historia yake, hadi ifikiwe kulimiwa hivyo,kila shughuri ya kiuchumi ina kiwango chake angalau cha mtaji wa kuanzia, na ugumu wa kilimo ni kwanza unawekeza tu, sasa hiyo laki tano, hata mtu akupe shamba bure, uliandae, upande, upalilie, upulizie dawa, mbolea, kama ni mazao ya muda mfupi, umwagilie, na hapo sio kama unafanya hizo kazi pekee yako, kuna mfanyakazi/wafanyakazi. NASEMA HIVI LABDA KAMA NI KILIMO HARAMU, UFANIKIWE KUTOBOA, WASIYAONE NA KUYAKATA KATA!!! kwa mazao halali haiwezekani,
 
Mzee baba Sumry ana machine pale shambani kwake yaani machine ile 1 tu inagharimu mpk million 600,ana stock ya mahindi ya kufa mtu serikali ilipopiga marufuku kupeleka mahindi nje jamaa alilia kilio cha kufa mtu.

Mo mashamba ya mkonge anayo maelfu ya ma-ekari na akivuna anaenda kutengenezea magunia kwny kiwanda chake huko moro then anaingiza magunia sokoni fasta,Sokoni demand ya magunia kwa mwaka ni magunia 20mil wkt Mo anazalisha karibu magunia mil.8 kwa mwaka.Yaani karibu 40% ya magunia nchi nzima yanamtegemea Mo.

Bakhresaa nae ni bad number ananunua mazao anatengeneza products then anazurudisha sokoni wana nzengo tunanunua.

Inshort,kilimo kinataka mtaji heavy mkuu na ni profession kama zilivyo taaluma nyingine na sio kama ilivyo sasa kila anaefeli kwny maisha/kazi ndo anakimbilia huko kwny kilimo mkuu.
 
Technics+Timing


Miaka 5 nyuma techiniques zilitubeba saana na timing!..ukilipanda august tikiti unalivuna oct kiangazi fulan...ss hv panda hyo hyo august ukitegemea mtakuwa wachache sokoni...unkuta fuso km 20 ziko sokoni!ishu labda kipatikane kiwanda cha kusindika matunda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…