Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Unaweza kusikiliza muziki ukiwa offline backup
Pia unaweza kudownload miziki aina yote ukija wewe ni kusikiliza tu bila bando
Na pia kwa wanafunzi wa chuo unaweza kulipia elfu 3500 tu Kila mwezi na kwa watu ambao sio wanafunzi ni elfu 6900 tu
Hizi hapa ndio risiti zangu za malipo hapa mpaka mwezi wa 5 ndio nitalipia Tena bili yangu 😎😃 jamani tuwe tunasikiliza muziki ndani ya Spotify quality sounds za kutosha humu
Na pia unaweza kuweka dakika ngapi ili muziki uweze kizima na pia unaweza kushare na marafiki zako playlist pia