Mambo usiyo yajua kuhusu Spotify premium

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Unaweza kusikiliza muziki ukiwa offline backup


Pia unaweza kudownload miziki aina yote ukija wewe ni kusikiliza tu bila bando
Na pia kwa wanafunzi wa chuo unaweza kulipia elfu 3500 tu Kila mwezi na kwa watu ambao sio wanafunzi ni elfu 6900 tu
Hizi hapa ndio risiti zangu za malipo hapa mpaka mwezi wa 5 ndio nitalipia Tena bili yangu πŸ˜ŽπŸ˜ƒ jamani tuwe tunasikiliza muziki ndani ya Spotify quality sounds za kutosha humu


Na pia unaweza kuweka dakika ngapi ili muziki uweze kizima na pia unaweza kushare na marafiki zako playlist pia
 
Badilisha kichwa cha Habari , β€œMambo nisiyoyajua β€œ wengine tunayajua mwaka wa 20 huu!

Mimi nimetumia Spotify nikiwa Sweden 2010, niliporudi Tanzania Ilikuwa haikubali, nikawa namwomba X wangu awe ana log Mara moja kwa mwezi kuonyesha nipo sweden ili iwe active!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…