Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Kwa hiyo ni bora aseme wakati unaona nchi hairuhusu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] namuambia ukweli, maana km namuona anataka akajaribu kukunjwa 7, afu a prove km atawashwa au laah,

Ahaaaa ujue af tangu saa tatu sijatoka humu ni kusoma comment tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila muache akajaribu aje atupe majibu yy. Si ni mtafiti
 
Yaan aliacha yeye binafs, au aliachishwa kwa lazima?
 
Kuna mambo huwa natamani sana watu wawe wa kweli, nikisema wakweli namaanisha wakweli hasa na elimu ni amana. Mfano watu wanao ongelea mambo ya majini (huu ni mfano tu) na hili suala lako, sababu ukiondila uongo uhalisoa utakuumbua. Mola wetu muadilifu sana.

Ulisema kwamba hali yako imekuka "automatically" muda huo huo kwenye kipenge hiki "SOMA KWA MAKINI JINSI YA KUEPUSHA WATOTO NA MASWALA HAYA (hapa zaidi kwa wale ambao sio natural born ila wanataka kujaribu)" kwenye nukta ya 3 na 4 umethibitisha ya kuwa hili jambo haliwezi kuja "automatically" kwa maana kuna sababu hupelekea hayo. Aisee, hakuna mtu anayezaliwa awe hivi alivyo, unayo yaona ni matokeo ya machumo ya mikono yetu, hukuzaliwa uwe hivyo, unatakiwa uwe mkweli. Kinacho onekana hapa wewe umependa uwe hivyo (matendo yako yanaonyesha hivyo).

Hakuna jambo rahisi kama kurudi kwenye asili, acha kuzembea rudi kwenye asili huko ndipo ipo salama.

Uzuri unaamini katika Mola, basi rejea kwa Mola wako muombe, na utubu kwa kujutia na kupiga vita vitendo hivyo, hakika utarudi na kuwa imara mno.
 
Naamanisha kuhusu hao waliojiua huko arusha ilikuaje!
 
Unaweza kushare pia kwa ufupi watu wajifunze, yote nilioelezea zaidi yanahusu ny personal experience pamoja na huyo friend ambae ni gay pia, kama kuna kitu kingine zaidi please share.
Swali.
Liliulizwa huko nyuma kuwa.

Hivi nyie Gays mnaofurahia kufanywa nyuma.
Mnafikaje kileleni ?

{ Kuwa Gay ni kushambukiwa na Spirit za Ushoga. Ni mambo ya Kiroho zaidi}

Uki wagona Wachungaji walio simama kama Mwalimu Mwakasege anakufanyia maombi na hizo pepo za Ushoga zinaondoka na unarudi ktk hali ya kawaida.

Mashoga mnijibu swali langu hapo juu.
 
Pole sana mkuu..

Katika ukuaji wetu nimeshuhudia kabsa ndugu yetu ameanza vitendo vya ushoga baada ya kumaliza form-4 .. huko nyuma kote hatukujuaga kama alikuwa na tabia hizo na hivi sasa ameoa yupo na mke wake na ana watoto zaidi ya mmoja..

Ni ukweli mtupu hapo umeuelezea mkuu.. ni kitu kigumu sana kukibadilisha kwa mtu amabaye ameshakomaa.. kikubwa umetoa ushauri mzuri sana hongera mkuu..

1) kuwaombea wanao M/Mungu hawaepushe na matendo hayo.

2) ukiona dalili kwa mwanao/wanao usimchekee umkalipie pamoja na kumfundisha vipi? Anatakiwa awe.

3) tuwasaidie hawa waliopo kwenye hayo matatizo kiukubwa zaidi na kutasaidia kuepuka na kizazi endelevu cha hao watu na kupunguza kama sio kuepuka kabsa maambukizi ya magonjwa hatarishi..

Pole na hongera/Asante kwa ushauri mkuu.
 
Kwenye uumbaji wa Mungu, alimuumba Adam kurepresent Wanaume na Hawa/Eve kurepresent wanawake... Hakuna suala linaloitwa mtu kuzaliwa shoga ni kujiendekeza tu na ndio maana ktk point zako mwenyewe umesema kuna vitu mtu akiwa navyo kutoka utotoni kama kupenda kuvaa vitu vya kike, kusifiwa we ni mzuri vinaescalate... hivyo wewe ulianza hayo mambo utotoni na hukudhibitiwa, usimsingizie Mungu eti ulizaliwa hivyo..
 
Chief, malezi yako ya utotoni yalikuwaje ? Hapa naona unapingana na uhalisia wazi wazi.

Hayo yote yanawezekana, ndiyo maana unamkuta leo mtu yuko hivi kesho yuko hivi. Mathalani mimi siwezi kuswitch kuwa hivyo sababu najua jambo hilo ni baya, kiimani na kiakili pia.

Ila wazembe wapo wanafanya hivyo kwa aidha kuiga, kushawishiwa na mfumo wa maisha wanayo ishi.

Hiyo ni tabia sababu jambo hilo liko ndani ya uwezo wako, kwa maana asili yako si hiyo. Hakuna Baolojia ya kuzembea namba hiyo.
 
Elezea ilikuwaje ukaharibiwa ukiwa 14 yrs na aliyekuharibu alikuwa Umri gani. Kuwa mkweli.
Hapa ndipo kuna ukweli, hawa watu huwa wanaruka vipengele muhimu sana vya kuelezea, huyu kama anaonyesha hili jambo ni la kawaida sana.

Huko juu nimemuuliza, maisha yake ya utotoni yalikuwaje ?
 
View attachment 2185469
aaa kitambo tu si unaulizia meja wa KLM waliyemsimamisha
Mtu na mkewe hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Huyu meya kuna chimbo hilo, ananyanyasa gays kwa kuwasema wengi wao hawajasoma, walicharuana na Noel ndale, akaishia kumuambia utaishia kutumiwa buree, mie pesa ni zangu, wee unahongwa

Ila ushoga kazi khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…