Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Kaa mkao wa kupigwa shaba,kwa maana mama yako akiisoma hii comment atakuwa ameshakujua kuwa mtoto wake ni shoga
Nalog off Z
 
labda swali lingine huwa unapata starehe gani pale unapoingiziwa mkuyange halafu kufika kwako kileleni ni kupi(yaani unamwaga nini)
Halafu halafu vipi kinyesi huwa hakizingui kwenye shughuli au kuna namna ya kukidhibiti

halafu halafu mbona kama hutaki kufunguka sana wakati ID yako ni anonymous

funguka tuelewe vingi kuhusu nyinyi magay ambao inawezekaña kweli hamkuumbwa hivyo
 

Naona mzee umeandika kwa maandish makubwa unataka ukajalibu nini maana swali lak ni kama unawishi u log in [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani mkuu ukipewa mbususu unachakata kama kawa;!? Kwamba majogoo hayaja kuathiri mbele!!?pole Sana aiseh
Huyu jamaa inaonekana hajagongwa sana maana kibailogia ukipigwa sana nyuma mbele panaacha penyewe kufunction sasa yeye anasema aligongwa na rafiki yake akiwa na miaka 14 na toka siku hiyo amekuwa addicted na mkuyange sasa iweje mbele pafanye kazi bila soda/shida

Awe muwazi tu kuwa kwa sasa anahitaji mzoefu mwenzake waanzishe familia
 
Naona mzee umeandika kwa maandish makubwa unataka ukajalibu nini maana swali lak ni kama unawishi u log in [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]watu wataanza kwenda kujaribu huko kwa fujo mtaani woiiiih.
 
Nasikia ukiliwa sana mnara hausimami.
Na show kwa manzi zina kuw mbovu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]watu wataanza kwenda kujaribu huko kwa fujo mtaani woiiiih.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaonekan tu others nikama walikuwa hawajui so wapeta uelewa kidogo na wanatak kujalibu mtu na akili zako uwezi uliza maswali kama hayo yy amesema anatoa elimu saa mtu anuliza mambo ya kilele na kuchafuka wazi kabisa anataka ku practice
 
Huko mtaani sasa watu watainamishwa hadi wajute, mbuzi kafia kwa muuza supu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu pole sana, ila nadhani hiyo hali inatibika kama ukiamua.

Ni sawa na kuacha pombe au sigara, kila kitu ni mindset.
 
Ukishaliwa zaidi ya Mara kadhaa hata muonekano wako wa nje hubadilika
Kama ulishawah kuona mikono yao
"Sisi watoto wa ILALA tukikuona tu siku ya kwanza bila ya kutuambia tunakukonyezaaaaaaaaaaaaaaaa"
 
Huko mtaani sasa watu watainamishwa hadi wajute, mbuzi kafia kwa muuza supu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kama ume observe watu hapa leo wamefunguka sana yaan Wameshindwa kuficha na kuna wengine wanatak kwenda direct ila wanazinguka kuuliza maswali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu anatamani kuliza ukifanya usikii maumivu lakini au Nikijalibu kitatokea nini lakin swali lake anavyo uliza ukifanya una jisikiaje? Mara yako ya kwaza ilikuwaje wakat Mtoto wa watu kaelezea vzr ulizeni maswali ya muhimu
 
Ukishaliwa zaidi ya Mara kadhaa hata muonekano wako wa nje hubadilika
Kama ulishawah kuona mikono yao
"Sisi watoto wa ILALA tukikuona tu siku ya kwanza bila ya kutuambia tunakukonyezaaaaaaaaaaaaaaaa"
Uongo tyuuh sababu sio kuliwa zaid ya mara 1, ni hulka ya mtu tyuuh kijiweka hivyooo.
Unless awe n hormonal imbalance. Tuache kudanganyana hapa.

Na sio kila mtu mwenye hulka hiyo n Gay noope. Mind-set za watu tyuuh.
 
Naona sio muhimu sana, coz wanasema hilo jambo halipo, ila watu ndo wanaliongelea kulikuzaa, nimeamua kuchagua kuwa kimyaa, kuna maisha nje ya ushoga..
Hapo ni sawa na kusema tusizungumze na watoto wetu kuhusu ngono na madhara yake maana haifanyi wakati tunajua kabisa kuwa wanatia na tuwatia kila siku
 
Mimi binafsi sijawahi kuwachukia mashoga.
Sasa unamchukia shoga na kujenga chuki juu yake ili iweje?

Kwamba ukijena chuki dhidi ya mashoga ndipo wataisha au utawafanya waongezeke zaidi kwa siri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…