Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Hapa mkuu, lugha uliotumia sio sahihi, sigawi (kama unamaanisha kutembea na watu ovyo), pia sijaandika hii thread ili watu wajue kuhusu mimi, ila wapate kujua inavokua na kuweza kuwaprotect watu wao wa karibu. Asante.
Niwie radhi Kwa Hilo.
Ila nimeumia Sana kigundua Mwanaume mwenzangu anawapa wanaume wenzako.
Nakuombea uishinde hiyo dhambi.
 
Dah ila watu wagumu kiais kuelewa, i've said very clear, kua hizo hisia za sexual attraction ninazo tangu nikiwa mdogo sana, ila nimesema tu mala ya kwanza kusex ilikua when i was 14, hapo ndio first time ya kuwa penetrated, na nimeongea hilo ili watu waone kua mtu kua gay sio kwamba huwa anawashwa huko chini kama watu walivyokalili kwamba gays huwashwa sana ndio sababu wanatafuta watu wakuwapenetrate, no sio kweli sababu ingekua kweli basi ningewashwa huko nikiwa mdogo nikatafuta mtu tusex, na kwamba mtu anaweza kua gay kihisia ila asijaribu kusex kabisa, that was my point.
 
dah nimesikitika sana, sasa mkuu ukiwa unafanya hivyo unakojoa vipi kuna sehemu nimeona unasema umefika mshindo sijaelewa unafikaje mshindo kupitia mboo yani unapizi au huko nyuma??
wakuu haya maswala yapo nnje ya leo lengo la uzi huu, mbona msiulize mambo ya msingi kuliko kutaka kujua haya?

anyway gay ni mwanaume kama ulivyo wewe kimaumbile isipokua kihisia tu, unavofika mshindo wewe ndivyo anavyofika yeye pia.
 
Ila wapo walio kaza Kama ......
 
Hakuna suala la Privacy wala nini hapo,ipo siku mambo yatakua hadharani. Unadhani hao wanaume unaowapata walijuaje kama wewe ni Gay?
Hivyo hivyo walivyokupata ndivyo hivyo siri yako itakapo vuja. Hakuna siri ya watu wawili mzee.
 
Mungu anusuru vizazi vyetu
Kilakitu kinamwisho wake omba sna Mungu akuondolee iyo rohonya kishetani pia ukumbuke umeweka roho za ndugu zako na wazaziwako rehani siku watayogundua wew ni shoga

Jaribu kuongea na nafsiyako kilawakati juu ya dhambi kubwa unayoifanya na laana ya dhambihiyo katika ukoo wako kma kweli unajutia Basi acha itakutafuna Sana itatafuna kizazi chako Sana

Mungu akusaidie
 

mi labda nikuulize baada ya kutype huu uzi n mashoga wangapi wamekufata dm!! maana najua wapo wengi tu humu[emoji1787]
 

[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]hii nchi miaka 50 ya ukoloni tena hamna watu humu[emoji1787][emoji1787]
mi nilijua una mbinu za kumsaidia mwenzio??
cha ajabu utakua na mtoto gay hata hutakfanya chochote
 
Haaaaa. If u think anus is not a wound put spirit. Utajua hujui. Sasa Iweje kidonda kipelekewe moto. Dunia IPO ukingoni kabisa.. Namtakia Russia ushindi mnono dhidi ya hao shoga NATO
 
Kuna tofauti ya ubongo wa gay na wa straight,,,madaktari wa ubongo wanajua hilo (Neuroscientists) Kwahyo ushoga sio tabia ya nje ni kitu cha ndani kabisa....na wanazaliwa hivyo
Kuna wanaozaliwa hivyo kuna katoto Magomeni miaka hiyo kalikuwa hivyo kadogo kamakatika mauno mtu mzima ukasome,wakawa wanakaita shoga huyo michezo yake ya kike tuuu huwezi amini wazazi walikarudisha kwa bibi yake kijijini nimekaona mwaka jana kako kiume kabisa na kana mke
 
Haaaaa. If u think anus is not a wound put spirit. Utajua hujui. Sasa Iweje kidonda kipelekewe moto. Dunia IPO ukingoni kabisa.. Namtakia Russia ushindi mnono dhidi ya hao shoga NATO
Hivi ukiiweka spirit kwenye vagina itakuaje?
 
Uzi wa moto sana huu. Unapaa kwa speed
Ukinzana Jan Kama saa tatu za usku HV mpk namalizana mech za chelsee ilkuwa Kam page ya 150 HV nimeamka Leo nimechungulia nimekuata page ya 650
 
Yaani wee cocastic Ni mshezni San tokea Jana saa tatu Uzi unapandishwa upo tu huku unachekacheka tu mpk sas HV

Unacheka nnfno
Nacheka comments mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Hakuna suala la Privacy wala nini hapo,ipo siku mambo yatakua hadharani. Unadhani hao wanaume unaowapata walijuaje kama wewe ni Gay?
Hivyo hivyo walivyokupata ndivyo hivyo siri yako itakapo vuja. Hakuna siri ya watu wawili mzee.
Watu wanamjua sana, wameamua kumsitiri na kumstahi, couz yeye ana maintain na kulinda heshima na status yake. Ila wanajua vizuri uhalisia wake.
 
Mimi najiuliza tu hivi wakati ukifumuliwa na mwanaume mwenzako wewe unafikaje mshindo?
Inamaana tigo yako inapiz kama mbususu? 🤨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…