Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Wewe hayoo ukiyataka watafute mbona wengi wanadanga club casino ila hapa tumshauri namna gani ya kuepuka hizo hisia mm naona hospital hawana dawa ya kutibu hii kitu Kiko beyond biological ila biological ndo in respond izo response .

TIBA NI MOJA TUU NAYO INAFANYA NA WATU SPECIAL WA SPIRITUAL NAYO INAITWA
HYPONOSIS(erasement of actual mind)
Swali langu gumu kidogo
Mnapo sex kinyesi huwa hakitoki chote jee huwa hakitapakai kwenye uume?
 
Tena wanapigania haswaaah, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwan wasenge wanaongezeka? Couz mabasha wapo wa kutosha

Mbna simple kujua hilo.
 
Nahisi kabisa huyu aliyeandika hii post ni ww. Kuna siku utakuja kufilimbwa vibaya sana na utaacha kabisa huo ichoko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo. Sasa mzoefu tangu lini akaacha? Labda atastaafu kwa muda. Woiiiiiiih
 
Siwezi kukuhukumu wala kusema lolote baya juu yako, bali nakuombea Mungu akupe neema na rehema zake maana kuna mambo yapo nje ya uwezo wa mwanadamu na tunahitaji nguvu za Mungu kuyakabili

Hakuna binaadamu mkamilifu, Mungu anusuru vizazi vyetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] kadate na wanaume zaidi ya wawili, eti ndo hajulikan? Khaaaaah.
Asubirie siku ya kuumbuka, ataelezwa kila kitu had atashangaa walijuaje. Uwiiiiiih
Kujua wanajua ila aibua wanaona wao kila wakimfikiria mhusika.
 
Yani hapa naumiza kichwa na I'd yako ya siku zote tu..🤔
Mungu anusuru vizazi vyangu
Hongera na pole.
Mi naumiza kichwa kumjua huyo mwanasiasa na msanii
 
Tena wanapigania haswaaah, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwan wasenge wanaongezeka? Couz mabasha wapo wa kutosha

Mbna simple kujua hilo.

Boda boda sana sana hapa kwetu jiran kuna kijiwe cha boda boda ase juzi kati nikaingia mtandao nikamtuka boda anae nichukua kila siku kapost insta kuwa anafila bure na ana posti dudu lake ase nilipata hasira nikawa nataka nimtafute ni mshauri nikasema ngoja niache maisha yaendele kila mtu ababe msalaba wake ila boda boda
 
Boda boda ndo wanaobeba majority ya mashoga, wengi wao n mabasha na kuchu, yaan wanageuzan zamu zamu, na mabasha wanaokula tyuuh, hawa ndo wanao warubuni watoto wa secondary wanawadanganyia lift na vipipesa vya kutumia shule, wanawakula baraaah.

Wangejua hili tatizo lilivyo, watu wanaweza sema dunia imeisha.
 
Naona mnazidi kuitangaza ajenda yenu kwa kasi.

Hakuna mtu anazaliwa akiwa shoga au msagaji. Upumbavu na uovu katika mazingira hupelekea watu kufanya haya.
 
Naomba nitoe angalizo muhimu mtu anazaliwa na genes za character fulani.Lakini mazingira ndo yanafanye zile character zieffect. Unaweza ukazaliwa na IQ kubwa lakini mazingira yako yakawa ya kuwaza leo utakula nini, hivyo ikawa ngumu uwezo wako wa kufikiria mambo makubwa kuonekana au kueffect. Hata ushoga ni kweli sayansi inasema Kuna watu wanazaliwa na hizo genes. Lakini mazingira ya malezi au anapoishi ndo yanadetermine atakuwa gay au sio.
 
Wewe jamaa inaonekana ni SHOGA.Mbona una hasira sana
Mmetumwa hapa kuwaandaa watu kisaikolojia ili wakubali kwamba ushoga ni hali ya kawaida na kwamba watu wanazaliwa hivyo.

Mnachofanya ni ushetani, upumbavu na uovu mkubwa sana. Mtalipia kwa gharama kubwa sana katika moto wa milele.

Heri mkimbilie kwa Yesu naye atawapa nguvu kushinda hizo tabia na roho chafu za usodoma.
 
Mkuu ntatoa list ya hao watu….Stayed tune
Yule wa kule kanda karibu na kati asikosekane kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anavuruga watoto wa IFM na CBE km hana akili nzuri vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…