Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Baba jaden kwa maana ya rayvan? Acha basi
 
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23] nilichogundua wee ndo unaingia ktk himaya zao, usikatae hapa lol.
Afu naomba kujua chatt za shoga n ipi, na yako n Ipi, maan sielew vizuri.
Nilijua tu, lazima utie nenk kwenye huu uzi
 
Mmmmmh hapana sio kweli lol. [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bado na mashaka na ww why ukakutane naye uyo mtu? Ila utajua mwenyew ata ukienda topeni fangasi utapa ww sio dunia nzima
Hahaha nilikutana nae sehemu ambayo hatungeez kufanya ilimaradi tu, akanielekeza kuna mahali ubungo external ipo bar ina guest hata tukienda hawatuulizi mana ipo kwa ajili ya mambo hayo hasa usiku hadi watu wenye heshima zao
 
Umeona tena alikuwa anafirahia kabisa hapo soma text vzr inaonesha mzee kaingia topeni ila hataki kukubali mtu mpka una meet nae then mnaongea means alikuwa anataka mzigo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Unacholia.[emoji15][emoji849]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji3577]
 
Reactions: amu
Umeona tena alikuwa anafirahia kabisa hapo soma text vzr inaonesha mzee kaingia topeni ila hataki kukubali mtu mpka una meet nae then mnaongea means alikuwa anataka mzigo
Nilikuwa na drive force ya kumla ndani yangu ila ilipingana na nafsi shetani wa zamu alikuwa weak sana siku iyo alishindwa padogo sana kukamilisha mission yake nikaibuka kidedea

I
 
Unacholia.[emoji15][emoji849]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji3577]
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sasa nn
 
Nilikuwa na drive force ya kumla ndani yangu ila ilipingana na nafsi shetani wa zamu alikuwa weak sana siku iyo alishindwa padogo sana kukamilisha mission yake nikaibuka kidedea

I

Ila iyo stori yako ina maswali mengi ase au basi
Sema nn kazan sawa ila dah au basi [emoji850][emoji850]
 
Wabongo inaonekana wanaupenda ushoga katika ndani ya miezi hii sita huu uzi umetrend na reply nyingi sana….This implies watu wanapenda au wako na curiosty ya kujua haya mambo
 
Kwani kwa mfano Shemale wametambuliwa na Biblia?.

Na je kwani ni Jamii wote Duniani wanaitumia Biblia?.
 
Siku hizi JF kuna kitufe cha like, sad,love,wow kwa hiyo unapoona reaction zingine ni za mishangao na zingine ni za kuobyesha huzuni sio zote ni like, inaonekana wewe ni mgeni hapa JF au mshamba
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…