Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

uyu jamaa anahitaji msaada wa kiroho zaidi kuliko kushambuliwa nakuombea Mungu akusaidie kuna watumishi wa Mungu wa kweli wanaweza kuku guide namna ya kuomba its sad Tbjoshua kashafariki Mungu amrehemu lakini huyu baba alisaidia watu wengi sana wa aina yako mimi nawajua baadhi ambao nipo nao karibu sana na hawakua famous na hata kuwajua ilikua ni vigumu lakini kumbe walikua na hili tatizo nakushauri achana na makanjanja tafuta watumishi wa kweli wa Mungu utasaidika, nakuombea Mungu akuhurumie akusamehe akusaidie kwasababu unaoneshania ya kutaka kusaidika.
 

Unasema ushoga ni wa kuzaliwa, yan unazaliwa hvo.

Lakn hakuna sababu zozote za kibailojia ukizoweka, zaiidi umetoa sacial causes.

Tunaomba tafiti za kisayansi na sababu za kibaiolojia zinasabbisha ninyi kua mashoga.

Pili, unasema tuombe Mungu tu lkn hakuna uhakika km wanetu hawatakua mashoga baadae

Lkn hujasema wala kutoa uhusiano wa Mungu na ww kua shoga.
Yan Kua shoga ww ni Matokeo ya kupenda kw mungu kaka

Criazly, kwann mnamsingizia hvo Mungu braza.


Mwisho, kichwa cha hbr umesema unatoa ushuhuda, lkn mpk mwisho wa hbr yako hakuna lolote, zaidi ni fallacy tu

Yan ww shoga usijue uliuanzaje!? Ilikua lin, first lover wako usimjue
Mzee kweli unamakinika kweli!?

Hakuna hist uloitoa ya kuonesha ulifkaje hapo, zaidi umezungumza kaa ujumla tu

Aagh Big NO.
 
Nimesoma huu uzi na kujaribu kusoma baadhi ya comment sidhani kama ni wengi wamekuelewa kama ulivyolenga.

Utanisamehe lakini kwa kesi ya maelezo yako wewe inaonesha ni kama ungeamua 'kukaza' ungekiepuka hicho kikombe.

Umetoa mfano mzuri ya Watu waliowahi kupitia ukatili Utotoni lakini bado wakamudu kubaki kuwa wa upande mmoja 'straight'.

Mimi ni miongoni wa Watu ambao siku zote sipo pamoja na hawa wanaotumia nguvu kubwa kupanda majukwaani kukemea ushoga bila hata kujua ushoga ni nini.

Jamii yetu tumejaa Wanafiki na Wenye ufahamu mdogo sana wa mambo, tupo kama Mbuni anayejitahidi kuficha kichwa chake na kuacha Mwili wote nje akiamini ameshanusurika.

Jamii yetu inapaswa kuelewa ya kuwa wapo wanaopitia huko kutokana na changamoto halisi za kimaumbile....Yaani wapo wanozaliwa na viungo vya jinsia ya kike lakini hisia zake zote za kimwili ni za jinsia Me, na vice versa.

Sasa kwa bahati mbaya Jamii yetu inashindwa kuwatofautisha na tunaishia kuwaweka wote kapu moja na kuanza kuwashutumu tu bila kutafakari ya kuwa wapo tunaowaonea tu.

Hata Wenzetu huko nje kuamua kuwatambua hili kundi ni baada ya kuelewa kitu ambacho kwa sisi Waswahili siku zote tutachelewa kutambua.

Sina uhakika kwenye kujihusisha na 'vitendo' ila nakubali kuwa wapo Wenzetu ambao maumbile yao ni tofauti kabisa na hisia zao, na hili hawajajitakia ni ulemavu kama ulemavu mwingine...kama tunakubali Walemavu wengine ni upumbavu kutowakubali hawa.

Imagine unajikuta huna mapenzi na jinsia uliyo nayo na unapenda mambo na shughuli za jinsia ya pili bila utashi wako ...lajkini Jamii yako wanakunyima huo uhuru, hatuoni kama huo nao ni ukatilitu kama ukatili mwingine?.

Ingawa sikatai kuwa kwenye msafara wa Mamba na Kenge wapo, wale wasio na changamoto za homone waache kujiendekeza maana Jamii haiwezi kuwatofautisha...ila wenye changamoto ya ukweli ya kimaumbile tuwaheshimu kama ambavyo tungemuheshimu Mlemavu wa ngozi au kiungo cha Mwili.

Swali langu kubwa ni, kwani haiwezekani ukaishi maisha ya kuwapenda Watu wa jinsia yako (kwa wale wenye changamoto za ki homone sio wanaojiendekeza) bila kuwa na muingiliano (penetration)?.

Je Mtu mwenye hiyo changamoto ya homone anapokuwa na Mtu 'straight' bado wote tuwaite Gays?...na Je kundi gani ni kubwa kati ya hao Wenyechangamoto za homone kiukweli na wale wanaowatumia?.

Je, jamii tuna hasira na kundi lipi haswa, hawa wenye hizo changamoto au hawa 'straight' wanaowatumia hao wenyechangamoto za kimaumbile?. maana usikute tatizo kubwa linaletwa na walio straight kuliko hawa wahanga.
 
Huyo broh wako nae akae kwa kutulia lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Ataungwa REA shauri yake, hebu nikae kimya mie.
Atajua mwenyewe maana ana mambo ya ajabu ajabu.
 
Mauaji,uzinifu,ushirikina n.k ila sasa ongelea suala la ushoga ghafla kila mtu ni pastor na shehe kila mtu ni malaika hana dhambi kila mtu anakuwa ni jaji kama vile amekuumba kila mtu anajua vifungu vyote vya biblia na Quaran kila mtu ni msafi hana dhambi hata moja wanasahau kuwa na wao wanayao ila wameyaficha Muumba pekee ndo anajua kuna wabakaji humo kuna wazinifu humo kuna wale wala tigo za kike wanaona sawa ila all in all kumbuka HUJAFA HUJAUMBIKA

AFRICA KWA UNAFIKI TUMECHUKUA TUZO NAMBA MOJA DUNIANI
 
Kwani kwa mfano Shemale wametambuliwa na Biblia?.

Na je kwani ni Jamii wote Duniani wanaitumia Biblia?.
Nimetolea Biblia kwa sababu me ni Mkristo. Veep nikisema vitabu vya dini havijatambua hii issue??
 
Waliohuzunishwa ni wanne tu

Wengi wenu mmependezwa na huu upuuzi.

Mods naomba coments zangu mziache kama zilivyo
 

Attachments

  • Screenshot_20220415-184029~2.jpg
    25.4 KB · Views: 33
Kwasababu Mungu ni muumbaji wa kila kitu hapa duniani hadi shetani kaumbwa na Mungu sasa ulitaki amsingizie nani au bdo unataka aseme ameumbwa na shetani
 
Ungeanza kuuliwa ww kwa kuchukua sifa ya kiungu kujifanya Mungu kana kwamba ww sio mdhambi vile umekamilika kama Mungu mwenyewe...bro kwann umechukua jukumu la Mungu(kutoa hukumu) angali kwamba ww ni binadamu na mdhambi kama binadami mwengine? Au ndo hujawahi zini hujawahi tamani mke wa mtu hujawahi mfilisi mtu hujawahi kumnyang'anya mtu haki yake....ndo maana tukasema Mungu sio binadamu angalibkwamba angekuwa binadamu basi watu kama ww wangekuwa washafutwa katika huu uso wa dunia
 
You might be right
 
Cha ajabu sasa hawana la kufanya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanabaki kulia na kuchafukwa rohoni kwao, lol
 
Point yangu ushoga sio mazingira peke yake ni genetic lakini mazingira yanainfluence effectiveness ya genetic traits. Kuna study zilifanyika za mapacha waliotenganishwa utotoni, na kulelewa katika familia zenye mazingira tofauti. Majibu exact waneyafungia bado hawajayaweka public. Mazingira ya malezi ni muhimu sana.
 
Kwanini mashoga inafikia time wanadhoofu? Yaani akipigwa kwa muda mrefu anapandisha kenchi hata kama haumwi, na midomo kuwa myekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…