Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 360
- 608
Kwanini mashoga inafikia time wanadhoofu? Yaani akipigwa kwa muda mrefu anapandisha kenchi hata kama haumwi, na midomo kuwa myekundu
Mmmmmh kwan straight hawaumwi? Tutolee uongo wako hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini mashoga inafikia time wanadhoofu? Yaani akipigwa kwa muda mrefu anapandisha kenchi hata kama haumwi, na midomo kuwa myekundu
Na ngozi inafubaa natamani kujuaKwanini mashoga inafikia time wanadhoofu? Yaani akipigwa kwa muda mrefu anapandisha kenchi hata kama haumwi, na midomo kuwa myekundu
Umeandika mavitu ya hovyo kwa mwandiko wa hovyoOmbi Langu kwako mkuu Hawa wansiasa Sana San wanao kuchkata naomba San siku moja wabadililikkie ktk ya mchezo so umesema unawaeza kufanya mapenzi na unatumia sijui pillis Ila fanya namna yoyote. Uwachakate au uwaombe na wee shoo usikubali kuw wee tu ndio unamwagiwa shahawa .kwa kuwa na wee unaweza tafadhali sna mnyanyie angalau wawili Hawa wanaokutaka San wanasiasa waombe show uone Kama watakubali wakikimbia nakumbiaa itakuwa pona yako hyo maisha mnk ingekuta huyu anakuja kukumwagia akijuwa nae atamwagiwa bas atasepa na michezo hi itaisha
Mnk siku Hawa watu wakiwakosa wataamia kwa watot wadogo hvyo Ni lzm utusaidie hao wanasias wanakuja kukumwagia nawew wamwagie uone Kama ujapona
Wewe jamaa ni mwongo sema umetoa SoMo zuri kuhusu tatizo lililoko kwa jamii.umesema hutaki kujulikana mbona umeshajitambulisha kwa kusema mamako hapendi gays na alisema akijua atapiga risasi au amwekee simu afe,halafu ukasema aliwahi kumpiga gay mmoja baadae ya kumtaka cousin wako.kama mamako na cousin wako wako humu,wameshakujua na Leo utakula risasiOk nitajibu kama ifuatavyo, nimesema hakuma mtu anaefahamu nikimaanisha watu wangu wakaribu, ndugu zangu, rafiki zangu, wafanyakazi wenzangu nk. Pia natake risk sana , sababu hata wagu niliowahi kudate nao hawawezi kuongea sababu wao pia hio ni moja ya privacy zao, hivyo kwa ninavyoamini hadi sasa hakuna mtu wangu wa karibu anaejuax sababu habari ingenifikia.
Pili, sina.mpango wa kuoa ndio, ilala mama angu.namuogopa sana, anachukia sana mambo ya gays, na aliwahi kusema sikua kigundua mtoto ake au mtu ndani ya nyumba yake ni gay, atamtwanga risasi au hata kumuekea sumu afe. Alishawahi kumpiga hata karibu amuue gay aliewahi jaribu kumuapproach cousin yangu tuliekua tunaishi nae, hivyo sitataka ajue, huwa namwambia tu sitaki kuoa , sijajua kama hua anazingatia au la.
Pia kuandika hayo mambo sio kwamba nafurahia , ila nimeandika.mambo.mengi in reality ili imake sense watu wajue naongelea kitu gani, thats all, ila kua gay ni changamoto sana, siwezi taka hata ntu awe.
Ila na wewe unaonyesha una viashiria vya kuwa shoga maan mwandiko wako sio wa kiumeKuna siku niliona video mwanaume anamfanya mwanamke dogy huku nae mwanaume anajiingizia dildo ,kubwa hiyo dildo jamani
Ila wapo wengi mno
Ila na wewe unaonyesha una viashiria vya kuwa shoga maan mwandiko wako sio wa kiume
Kama raibuNa ngozi inafubaa natamani kujua
😂😂😂😂 mwandiko unajua kumbeIla na wewe unaonyesha una viashiria vya kuwa shoga maan mwandiko wako sio wa kiume
Gay ni neno la jumla la uliyoyatajaBisexual inatumika kwa mwanaume au mwanamke ambaye anajihusisha na both genders yaani yake na opposite.
Gay ni mwanaume ambaye yupo 100% involved na wanaume tu hana mahusiano na wanawake hata kidogo.
Lesbian ni mwanamke ambaye anahusiana na wanawake tu hana feelings kwa wanaume hata kidogo.
Gay ni male, lesbian ni mwanamke.
Uongo wee mtu khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gay ni neno la jumla la uliyoyataja
Pole sanaSwali zuri sana, mimi ni mkristo, nasali KKKT, ila pia napenda kuhudhulia ibada hata makanisa mengine sometimes kama Pentekoste na TAG, pia hua nahudhulia mikutano yote ya mwakasege, sababu napenda kusikikiza neno la Mungu, na pia sababu nimezaliwa kwenye familia ya watu wanaosali.
Nafahamu maandiko yes, na sitaki kusema nachukuliaje ila nachomuomba Mungu siku zote ni kama hii ni dhambi kuu, basi naomba anibadilishe kwa wakati wake, sababu mimi siwezi, kutokana na maandiko yes najiona mwenye dhambi, lakini siwezi acha kumuomba Mungu kwa sababu ya weakness ambayo kama binadamu siwezi kuichange, humuuliza Mungu, mbona nisipende women kama wengine, mbona hisia zangu ziwe tofauti, shida ni nini, naamini yeye anajua zaidi. Hivyo ndivyo navyoweza kusema. Gays wanasali pia, yes , hata huyo rafiki angu mmoja ambae pia ni gay, ni muslim na anasali, anafunga na anaishi kama muslim wengine japo yupo hivyo.
Umewajuwaje Kam siyo unawachakata kwa hyo wew mtu akiwa na mdomo mwekundu tayar Ni shogaKwanini mashoga inafikia time wanadhoofu? Yaani akipigwa kwa muda mrefu anapandisha kenchi hata kama haumwi, na midomo kuwa myekundu
Hahahaha yule ni wale vijambarika vya njoro maana miaka ya nyuma kabla hajawa diwani nilimfahamu kidogo ila si shoga kwa zile harakati zakeKama raibu
Tunakunyooshea kidole maana we sio mtu wa kawaida, yani unatamani kudinywa au, yani tamaa ikija mtaro unatamani kudinywa ama, acheni izo wwUkipitia michango ya wadau utagundua jinsi Watz hawana uelewa juu ya Homosexual people,
Wengi wakisikia Shoga akili zao zinawatuma ni watu wa ngono ngono tu, yaani hawana impact yoyote ya Maisha zaidi ya kufanya ngono tu,
Mnawachanganya na sex workers, wengi waliotoa hadi shuhuda ni walikutana na Gays ambao ni Sex workers ni kama vile Wadada sex workers so huwezi kusema wadada wote wanajiuza kisa ulitongozwa na anayejiuza,
Shoga ni Mwanaume ambae anavutiwa na Wanaume wenzake kwenye Mapenzi, sio kama Shoga huyo hawezi kusoma, hawezi kua na fani, hawezi kua single, hawezi kua na mpenzi wake permanent, matamanio yake ya kingono hayawezi kuathiri mfumo wake wa maisha,
The same na heterosexual people sio kwa kua wewe unavutiwa na wanawake kingono basi kila mwanamke umuonae unataka kumparamia mfanye ngono, yaani ushindwe kufanya mambo mengine uwaze ngono tu hiyo sio kweli na kama utakua hivyo basi msaada wa haraka utahitajika sababu haipo kwenye hali ya ukawaida,
Mimi binafsi sipendi my kid aje kua homo, sababu najua kero atakazokutana nazo kwenye dunia hii iliyokosa Utu wala Usawa, sitopenda my kid anyanyapaliwe, anyooshewe vidole, ashindwe kuishi maisha ya uhuru badala yake awe na hofu mwisho apate depression afe, so hua namuombea kila siku lakini ikitokea sitaweza kufanya jambo lolote zaidi ya kumpa upendo zaidi na zaidi,
Cha mwisho ndugu zangu tuacheni unafki tuishi kwa uhuru na kujiamini huku upendo ukitawala, kunyoosheana vidole kisa fulani yupo kwenye mtazamo tofauti na wewe sio poa, wewe angalia watoto wako maana hujui ya kesho ni yapi.
Lazima washangae kwa uelewa wa kawaida iwaje mwanaume umpende mwanaume mwenzako akati dini zinakataza huon kama ni wehu na kujiendekeza hukoUkipitia michango ya wadau utagundua jinsi Watz hawana uelewa juu ya Homosexual people,