Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Tunakunyooshea kidole maana we sio mtu wa kawaida, yani unatamani kudinywa au, yani tamaa ikija mtaro unatamani kudinywa ama, acheni izo ww
Kwa kua hisia zake za kingono zipo tofauti na zako ndio unaona ni mtu wa ajabu??

je wewe hutamani kudinya? huoni kama na wewe una tamaa
 
Lazima washangae kwa uelewa wa kawaida iwaje mwanaume umpende mwanaume mwenzako akati dini zinakataza huon kama ni wehu na kujiendekeza huko
Ushawaza kuhusu hisia zake ukiachana na hizi dini zilizoletwa na mashua.. kwann Mungu alimuumba mtu awe na hizo hisia? Unavyoongelea suala la dini kana kwamba ew uzini au hujawahi fanya uzinifu...au ww nfo wale watu wanasema uzinifu ni dhambi ndogo kuliko zambi nyenginee
 
Unasimamishaje bila ya kuwa na hisia naye? Je hao wanaume unawaingilia au wanakuingilia?
 
Bora useme wee, nilitaka niandike waraka hapa, ila tatizo mie kitunguu nanuka, moderators hawakawii kufuta au kunipiga pin.

Huyu ni bisexual sio Gay. Ndo maan hata mie pia sijataka kujisumbua kudadavua.
Kwenye idara hii umesimama vizuri kupita maelezo.
 
Kwa kua hisia zake za kingono zipo tofauti na zako ndio unaona ni mtu wa ajabu??

je wewe hutamani kudinya? huoni kama na wewe una tamaa
Nyie ni watu wa ajabu sana, ukihamisha watoto ukawapeleka sayari ya mbali adi wajifunze huo ujinga ni baada ya miaka laki, ila kugonga dem ni wakibarehe tu, sa nyie hamjion mnamatatizo
 
Ushoga jamii inatambua kama ni unnatural thing,
Sasa ukipima natural na unnatural things ni vitu gani? unakuja kupata mitazamo mbalimbali

Vitu ambavyo ni natural ni vile ambavyo vinaenda sambamba na matakwa ya Mungu,kama vile Me kuoa Ke ni sawa sababu
Mungu aliumba Mwanamke na mwanamme washiriki tendo hilo,mwanaume na mwanaume wakishiriki si sawa -hii ni mitazamo ya kidini
Na vitu ambavyo ni Unnatural ni vitu ambavyo vipo kinyume na matakwa ya Mungu

Lakini ukiacha mitazamo ya kidini na KiMungu,hakuna kitu natural au unnatural,miaka mingi iliopita binadamu tulikua tunatembea na miguu minne baadae tukaja kutembea na miguu miwili,je ilikua natural kutembea na miguu minne? Je na sasa sio natural tena kutembea na miguu miwili?

Viungo vya mwili vinabadirika kufuatana mahitaji ya muda huo mfano unatumia mdomo kupitisha chakula na hiyo ni natural job ya mdomo,lakini unaweza kutumia mdomo kukiss ,kufanya blow job au kutolea mwiba uliozama kwenye mkono je kufanya ivyo unafanya tendo ambalo ni unnatural?

Hivyo ivyo katika kutumia tundu la haja kubwa kutafuta sexual pressure badala ya kulitumia tu katika kutolea uchafu mwili.

Hitimisho
Viungo hubadilika matumizi kutokana na mahitaji ya muda huo.viungo havipo kwa ajili ya tendo moja pekee,wapo wanaotumia miguu kupika,kuosha au kulia chakula je kufanya ivyo ni kosa?
 
Umeiweka Kitaalam sana hii,
Big Up,

Hawapendi kuelezwa Facts.
 
Umeeleza vizuri sana. Watu watakutukana ila ukweli utabaki kuwa ukweli. Chukueni huo ushauri aliotoa mleta Uzi.

Tatizo hili kwenye jamii yetu ni kubwa kuliko mnavyolisoma hapa. Na linazidi kuwa baya zaidi kutokana na jamii zetu kutotafuta namna nzuri ya kupambana nalo.

Tatizo limezidi zaidi baada ya WASAGAJI nao kuhamia kwenye kufanya mapenzi na MASHOGA. Ikumbukwe wote Hawa jamii haiwakubali. Sasa wamejitengenezea himaya yao.

Mapenzi yanayofanyika katika makundi haya mawili ni ya hisia Kali sana. Hakuna anayeshawishiwa akakubali kuingia Huko akatoka kirahisi. Kwa yanavyofanywa kwa Siri, Nina uhakika hakuna familia Ambayo haina mtoto ambaye, kama sio shoga atakuwa msagaji. Tukaneni ila ukweli ndio huo.
 
Na wewe unapigwa miti pia!?
 
Wewe ndio unaiwakilisha familia yenu kupitia ushoga?
 
sipendi mashoga nawachukia sana. Nikiri umeandika mambo mengi mazuri. Mungu pekee akutoe ktk hali hiyo, Nimefurah umekiri kwamba hupendi kuwa hivyo...
Natamani huu ujumbe usambazwe magroup ya wasap na mitandao mingine ili jamii itambue tumetoka wapi, tupo wapi na tunaenda wapi ktk hili tatizo la ushoga.
Miaka ya nyuma kidogo jamii iliamini watoto wa kike wapo ktk risk kubwa sana kuingia ktk ngono za utotoni... Lakin sasa hali mbaya ya ushoga ina sumbua vijana wa kiume...
JAMANI TUSIMTUKANE NA TUSIMBEZE TUJIFUNZE KWA ALIYO YAANDIKA, MIMI BINAFSI AMENIJUZA MENGI NILIYOKUA SIYAJUI.
 
Unajua nini nilikua nahis mume wangu ni shoga (tumeachana Sasa) kwasabu nilikua nikisafiri huku nyuma analeta rafiki yake wa kiume wanalala pamoja yaan nikimpigia simu pengine usiku nimefika safar yangu anakwambia nipo hapa na fulan analala hapa khaa halafu mi nikiwepo hao marafiki wa kulala siwaoni mpaka nikaanza kuhis vibaya, baadae miaka mingine akaanza kupenda nimnyonye mku*u na namuingiza kidole Cha mwisho lakini sikushtuka Sana kwasabu wanawake tunaambizanaga wanaume wanapenda kuchezewa mikund* lakini siyo mashoga, naomba uelewa wako kwwnye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…