Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Sasa unaposex naye Biringanya inasimama? Unajisikiaje ukiwa naye Mapenzini?
 
Wazazi wawe makini na shule za boarding ni za kuziogopa sana huku ndipo chimbuko la tabia izi mtoto anarudi likizo mwezi tu baada hapo shule kinachoendelea ujui lesbians na gays huko ndipo wanapojifunzia nishawahi ona

Sio kweli mbona sisi tumesoma huko Primary na Secondary hatujawa Mashoga. Mihemko yako tuu na kujidekeza. How comes unatamani kuingiliwa Mku&&u na Mwanaume mwenzio? Kwani Mk&&& una utelezi? Daah Mungu atufunulie hili
 
We unashida kubwa kijana, ikitokea leo umauti ukikufika huwezi kukwepa moto wa jehanum kwa laana hiyo. Umeandika mambo mengi ila unaona kama ndio tatizo lako na huwezi kubadilika, Pole aliekuumba hakukuumba uwe hivyo kuna roho chafu inakupelekesha tafuta msaada..kabla hatma yako haijawa mbaya.
 
Queen usihangaike nao hao,
wengi waliochangia kwa hasira na matusi inaonesha uhalisia wao, ni watu wenye fikra duni, maisha duni, hawana exposure yoyote ya Maisha wao ni Tanzania, Tanzania na wao, Elimu za kuunga unga,

Ndio maana yule aliyekua anatokwa povu kama aliyerukwa na akili maswali konki alikua hajibu yaani anakimbilia kuruka ruka kama njegere kwenye mafuta, lol

Nawashukuru sana Wazazi wangu kwa kunipa elimu na exposure pengine muda huu na mimi ningekua naongea upuuzi mbele ya watu waliostaarabika, [emoji120]

Mtu anafikia hatua ya kusema Mashoga ni Wahalifu wauwawe, wakati huo huo anasota na ajira na ukoo wake upo kwenye dimbwi la umaskini hawajui wajikwamue vipi, [emoji19][emoji854][emoji119]
 
Anachana nao my dear,
Watu wana stress za Maisha wanatafuta watu wa kuwatulia, wajinga wajinga hawajui wanachokisema.
 
Wasenge tu hao wanajitetea kwa kutumia mwamvuli wa homoni za kike, maana kama ni kweli homoni za kike zinaleta matamanio ya kuingiliwa kinyume basi wanawake wote wangekuwa wanafirwa.
 
Haya mtuambie na yule spiderman wa bongo nae vipi yuko kundi gani??
 
Tumia lugha rahisi kama mwenzako wa hii mada.
Usitumie maneno magumuuu

#YNWA
 
Mungu akupe nuru.

#YNWAP
 
Wait, Uongozi wa JAMII FORUM unakwambia ukiandika Mada kama hizo utapigwa Ban ya Maisha!!??

Kumbe "Where we dare to talk Openly" ni propaganda tu hakuna ukweli wowote!!
Jamii Forum ni Homophobic kuuumbe!!

Lakini mada za watu kufanya ngono na Watoto wadogo, wanafunzi, house girls, wake za watu hawana tabu nazo kabisa.

Na mbona umepotea siku hizi wamekuzuia nini?
 
Kama kwenye hizo dini walisema sodoma na gomora zilizamisha sijui kugeuzwa mawe ya chumvi hawa wa sasa hivi wametoka wapi???

Wewe ni Shoga siku ukiwa sawa nitafute nitakufanyia counselling for free.
Hizo counseling zako huwa unampa mtu ili aache au ajiachie afanye?
Mfano mtoa mada ye hashauri na katoa Rai kwa wazazi walinde watoto.

Wewe upo upande gani?

#YNWA
 
Hili swala la kuzaliwa hivyo ni uongo uliopitiliza, tena kwa mtu ambae hana mwonekano au hormones za kike inawezekana huna akili sawasawa katika kuchanganua mambo au kufanya maamuzi binafsi sio katika sexual orientation tu bali mambo mengi ya muhimu katika maisha yako

Kila kitu kipo kichwani mwako, hakuna dawa, sala, wala miujiza itakayokuponya na kwa maelezo yako inaonesha bado hujajijua vizuri upo upande gani kitu ambacho sio sawa,

Kama ni kweli hupendi hali hiyo.

Miaka 26 sio mingi unaweza ukarudi kuwa sawa bila hata kupata msaada kwa yoyote

Tengeneza chuki dhidi ya ushoga(vitendo) watu(wahusika wake) mfumo(supporters wake) mazingira yake (company) kitu chochote kinachohusina na huo ushoga bila hivyo utaendelea kuteseka na huo uhusika siku zote za maisha yako

*************
Usijipe moyo saana; watu wanakujua ila hawakuambii tu, watu wana kufahamu zaidi ya unavyodhani, watu wanaghadhabishwa na tabia yako hawasemi tu sababu sio nafasi yao kufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…