Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

Rekebisha number 3 ni kwamba 105 ni toka mwaka aliozaliwa kiongozi wao wa kwanza Kim il Sung ambapo alizaliwa 1911 ambapo kwaka huo wa 2016 ndio alitimiza miaka 105 toka azaliwe
 
3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi wao Kim il-Sung
Mkuu, kim il sung alikufa 1994 so haiwezekani kutoka 1994 mpaka 2016 ni miaka 105, au labda wanahesabu kwamba kila baada ya wiki 2 ni mwaka mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…