Huwa yanaanzia ndotoni lakini lazima lifanyike tendo halisi la kimwili ili wakamilishe uwili wa uhai mwili na rohoNina ushahidi tosha juu ya ulimwengu wa kiroho sana ila sasa ningependa kukushirikisha juu ya watoto wa kiroho na jinsi wanavyopatikana .
Mara nyingi wanapatikana katika ndoto pale unapoota unazini au unafanya mapenzi huwa no kweli katika ulimwengu wa kiroho na unapata watoto kabisa niamini ndugu ndio maana tunapaswa kukemea sana ndoto chafu zote kwa sababu watoto wale wanakuwa na unakuwa umewatelekeza.
Nikaribishe swali
Umeweka vema sana 🤝Wacha janja janja.
Ulimwengu wa roho hakuna wakuingia kimzaha hivyo.
Ndoto na maono unayopata yote hufanyika ktk ulimwengu wa nafsi na sio Roho.
Rohoni kulishafungwa na Muumba baada ya adamu kuanguka dhambini, hivyo upeo wa maono ya kiroho kwa mwanadamu haupo tena isipokuwa kinafsi na kimwili tu.
Note: Hao mnaoita mashetan&mapepo ni roho zinazodeal na nafsi zenu na sio Roho, Roho sikuzote ni innocent/hainahatia ndiomaana ukifa inarudi kwa Muumba na nafsi kulala mautini(kuzimu) mpaka ufufuko wa adhabu na hukumu na kikawaida baada ya Uumbaji wa Muumba hakuna uumbaji mwingine unaoweza kufanyika ukihusisha Roho ya mtu ama nafsi kwa ushirikiano na Roho ya kiumbe tofauti na mwanadamu pasipo kuhusika kwa Nguvu za Muumba ama amri yake,
Unapoota ama kufanya zinaa usiku haiwezi kuathiri hali ya roho uliyoshiriki nayo kupata mtoto, huwezi kupata mtoto kwa njia ya zinaa za kiroho ama kinafsi, hiyo haiwezekana na haitokuja kuwezekana, acheni kupotosha jamii.
Mkija na stori zenu muwe mnaweka na ushahidi, ingekuwa roho inauwezo wa kuipa mimba roho nyingine waingilianapo kiroho basi wachawi wangeshawapa mimba watu wengi na kuwazalisha watoto wasio julikana wamepatikanaje, pia wachawi wa kike wangebeba mimba nyingi,
Pia unatakiwa ujuwe, baada ya Uumbaji wa Muumba na kufungwa na uwepo wa muingiliano wa uzao kati mapepo na binadamu(nephilims period) basi hakuna uwezekano tena wa kiumbe yeyote wa kiroho kuongezeka dunian, mashetani na mapepo waliopo leo ni wale wale waliokuwepo kipindi cha akina Nuhu,
Asikudanganye mtu kuwa ana mimba ya kijini ama ana watoto wa kijini, huo ni uongo na upotoshaji, maana roho kwa roho haziwezi sababisha uumbwaji wa roho mpya, pia pepo hawez beba ujauzito sabbu ya muingiliano na roho ya binadamu, ingewezekana kama mapepo wangekuwa na miili ya kibinadamu TU,
Wengi mnaoletaga stori za hivi ni kwamba mmepagawa na uongo wa ushawishi wa hizo stori zenu za kijinga, mikosi na mabalaa yanaweza kukukumba ukishiriki na roho chafu lkn sio kusababisha Uzao wa roho mpya, hata wao pepo kwa pepo hawana uwezo wa kuleta uzao wao mpya, maana Nguvu hizo zilishafungwa, ingekuwa easy hivyo basi majeshi ya mapepo yangeshaumaliza uzao wa watu dunian maana wangekuwa wengi kiidadi.
Pepo, shetan, hawezi kufa mpaka kihama, wala hawez kuonekana isipokuwa kiroho ama kinafsi tu, na hawezi kukupa mimba ama yeye kupata mimba, acheni uzushi.
Ila sikubaliani na ufahamu kuwa Malaika aligeuka kuwa jini au pepo au shetaniMapepo na majini ni uzao wa kundi la malaika wa shetan waliofukuzwa mbinguni, hawa mapepo walizaliwa hapa hapa duniani kipindi kile cha akina Nuhu, kupitia lile kundi la shetan na malauka wenzake waovu walipo watamani wanawake wa kibinadamu na kuzaa nao matokeo yake kukaibuka uzao wa machotara(nephilims), na haya machotara Yaliondoshwa kipindi cha Nuhu kimwili lkn Roho zao ndizo zinaexist today maana Roho haiwezi kufa mpaka kihama, na mashetani ni viumbe tofaut na mapepo maana hawa ndio baba wa mapepo yaani ni wale malaika waliofukuwa mbinguni ama tuwaite wazazi wa mapepo, na hawa mashetani kimsingi hawadeal sana na maisha yetu bali tunadeal na vitoto vyao ambavyo tunaita mapepo vinavyosumbua jamii,
kwa weakness zetu za dhambi bado hakuna dunian mwenye uwezo wa kupambana na mashetani isipokuwa Muumba mwenyewe bali sisi tunapambana na vipepo, hata hao wachungaji wenu wa uongo huko makanisani hawawezi kuwaambia ukweli kuwa huyo mnaesema shetan mnapambana nae, sio yeye bali vijukuu vyake vipepo ndivyo kaviachia vitushughulikie, yeye shetan kazi yake ni kutoa Order tu na kusubili siku ya mwisho aje apewe mamlaka kamili ili ajifunue na kuitawala dunia Kiuwazi maana kisiri ameshaitawala dunia kupitia mafundisho ya uongo yenye alama ya666.
Fuatilia nilichokureply hutojutia, achana na stori za wababaishaji, ukiujua ukweli nakuapia hawa viumbe hawatokutesa maana ushapata siri zao.
Wacha janja janja.
Ulimwengu wa roho hakuna wakuingia kimzaha hivyo.
Ndoto na maono unayopata yote hufanyika ktk ulimwengu wa nafsi na sio Roho.
Rohoni kulishafungwa na Muumba baada ya adamu kuanguka dhambini, hivyo upeo wa maono ya kiroho kwa mwanadamu haupo tena isipokuwa kinafsi na kimwili tu.
Note: Hao mnaoita mashetan&mapepo ni roho zinazodeal na nafsi zenu na sio Roho, Roho sikuzote ni innocent/hainahatia ndiomaana ukifa inarudi kwa Muumba na nafsi kulala mautini(kuzimu) mpaka ufufuko wa adhabu na hukumu na kikawaida baada ya Uumbaji wa Muumba hakuna uumbaji mwingine unaoweza kufanyika ukihusisha Roho ya mtu ama nafsi kwa ushirikiano na Roho ya kiumbe tofauti na mwanadamu pasipo kuhusika kwa Nguvu za Muumba ama amri yake,
Unapoota ama kufanya zinaa usiku haiwezi kuathiri hali ya roho uliyoshiriki nayo kupata mtoto, huwezi kupata mtoto kwa njia ya zinaa za kiroho ama kinafsi, hiyo haiwezekana na haitokuja kuwezekana, acheni kupotosha jamii.
Mkija na stori zenu muwe mnaweka na ushahidi, ingekuwa roho inauwezo wa kuipa mimba roho nyingine waingilianapo kiroho basi wachawi wangeshawapa mimba watu wengi na kuwazalisha watoto wasio julikana wamepatikanaje, pia wachawi wa kike wangebeba mimba nyingi,
Pia unatakiwa ujuwe, baada ya Uumbaji wa Muumba na kufungwa na uwepo wa muingiliano wa uzao kati mapepo na binadamu(nephilims period) basi hakuna uwezekano tena wa kiumbe yeyote wa kiroho kuongezeka dunian, mashetani na mapepo waliopo leo ni wale wale waliokuwepo kipindi cha akina Nuhu,
Asikudanganye mtu kuwa ana mimba ya kijini ama ana watoto wa kijini, huo ni uongo na upotoshaji, maana roho kwa roho haziwezi sababisha uumbwaji wa roho mpya, pia pepo hawez beba ujauzito sabbu ya muingiliano na roho ya binadamu, ingewezekana kama mapepo wangekuwa na miili ya kibinadamu TU,
Wengi mnaoletaga stori za hivi ni kwamba mmepagawa na uongo wa ushawishi wa hizo stori zenu za kijinga, mikosi na mabalaa yanaweza kukukumba ukishiriki na roho chafu lkn sio kusababisha Uzao wa roho mpya, hata wao pepo kwa pepo hawana uwezo wa kuleta uzao wao mpya, maana Nguvu hizo zilishafungwa, ingekuwa easy hivyo basi majeshi ya mapepo yangeshaumaliza uzao wa watu dunian maana wangekuwa wengi kiidadi.
Pepo, shetan, hawezi kufa mpaka kihama, wala hawez kuonekana isipokuwa kiroho ama kinafsi tu, na hawezi kukupa mimba ama yeye kupata mimba, acheni uzushi.
Nakuonea huruma je unajua kuna aina ngapi ya maagenti.narudia tena ukitaka kumwona kwa macho shetani kuwa MTU wa mungu alafu utaona .yani kuna watu ,wasani,wanasiasa ambao ni mapepo sio watu wachukua muonekano wa kbdamu pia waigizajiMapepo na majini ni uzao wa kundi la malaika wa shetan waliofukuzwa mbinguni, hawa mapepo walizaliwa hapa hapa duniani kipindi kile cha akina Nuhu, kupitia lile kundi la shetan na malauka wenzake waovu walipo watamani wanawake wa kibinadamu na kuzaa nao matokeo yake kukaibuka uzao wa machotara(nephilims), na haya machotara Yaliondoshwa kipindi cha Nuhu kimwili lkn Roho zao ndizo zinaexist today maana Roho haiwezi kufa mpaka kihama, na mashetani ni viumbe tofaut na mapepo maana hawa ndio baba wa mapepo yaani ni wale malaika waliofukuwa mbinguni ama tuwaite wazazi wa mapepo, na hawa mashetani kimsingi hawadeal sana na maisha yetu bali tunadeal na vitoto vyao ambavyo tunaita mapepo vinavyosumbua jamii,
kwa weakness zetu za dhambi bado hakuna dunian mwenye uwezo wa kupambana na mashetani isipokuwa Muumba mwenyewe bali sisi tunapambana na vipepo, hata hao wachungaji wenu wa uongo huko makanisani hawawezi kuwaambia ukweli kuwa huyo mnaesema shetan mnapambana nae, sio yeye bali vijukuu vyake vipepo ndivyo kaviachia vitushughulikie, yeye shetan kazi yake ni kutoa Order tu na kusubili siku ya mwisho aje apewe mamlaka kamili ili ajifunue na kuitawala dunia Kiuwazi maana kisiri ameshaitawala dunia kupitia mafundisho ya uongo yenye alama ya666.
Fuatilia nilichokureply hutojutia, achana na stori za wababaishaji, ukiujua ukweli nakuapia hawa viumbe hawatokutesa maana ushapata siri zao.
Nina ushahidi tosha juu ya ulimwengu wa kiroho sana ila sasa ningependa kukushirikisha juu ya watoto wa kiroho na jinsi wanavyopatikana .
Mara nyingi wanapatikana katika ndoto pale unapoota unazini au unafanya mapenzi huwa no kweli katika ulimwengu wa kiroho na unapata watoto kabisa niamini ndugu ndio maana tunapaswa kukemea sana ndoto chafu zote kwa sababu watoto wale wanakuwa na unakuwa umewatelekeza.
Nikaribishe swali
Huwa naota ndoto jamaa yangu aliyefariki Januari 2021 anakuja ndotoni. Mara ya kwanza alikuja, akanifunua shuka halafu alivyoniona ni mimi akasonya na kuondoka (ni kama alikuwa anamtafuta mtu mwingine akakasirika baada ya kuona mimi sio yule anayemtafuta). Nikamsimulia bi mkubwa kuhusu ndoto hii (si unajua mama zetu wana-tuombea sana) akaniambia, kuwa jamaa alishakufa kwa hiyo tulio hai hatuchangamani na wafu, nikimuota tena nimfukuze.ndio maana tunapaswa kukemea sana ndoto chafu zote
Unakemea kiroho yaani kimya au kwa sauti tegemea na maamuzi yakoHiyo ndoto unawezaje kuikemea??
Kama majini ni viumbe waliofukuzwa hao majini wema wanatoka wapi,maana wapo wanaoamini kuna majini wema na majini wabaya.Ipi tofauti katika ya majinni na malaika.Mapepo na majini ni uzao wa kundi la malaika wa shetan waliofukuzwa mbinguni, hawa mapepo walizaliwa hapa hapa duniani kipindi kile cha akina Nuhu, kupitia lile kundi la shetan na malauka wenzake waovu walipo watamani wanawake wa kibinadamu na kuzaa nao matokeo yake kukaibuka uzao wa machotara(nephilims), na haya machotara Yaliondoshwa kipindi cha Nuhu kimwili lkn Roho zao ndizo zinaexist today maana Roho haiwezi kufa mpaka kihama, na mashetani ni viumbe tofaut na mapepo maana hawa ndio baba wa mapepo yaani ni wale malaika waliofukuwa mbinguni ama tuwaite wazazi wa mapepo, na hawa mashetani kimsingi hawadeal sana na maisha yetu bali tunadeal na vitoto vyao ambavyo tunaita mapepo vinavyosumbua jamii,
kwa weakness zetu za dhambi bado hakuna dunian mwenye uwezo wa kupambana na mashetani isipokuwa Muumba mwenyewe bali sisi tunapambana na vipepo, hata hao wachungaji wenu wa uongo huko makanisani hawawezi kuwaambia ukweli kuwa huyo mnaesema shetan mnapambana nae, sio yeye bali vijukuu vyake vipepo ndivyo kaviachia vitushughulikie, yeye shetan kazi yake ni kutoa Order tu na kusubili siku ya mwisho aje apewe mamlaka kamili ili ajifunue na kuitawala dunia Kiuwazi maana kisiri ameshaitawala dunia kupitia mafundisho ya uongo yenye alama ya666.
Fuatilia nilichokureply hutojutia, achana na stori za wababaishaji, ukiujua ukweli nakuapia hawa viumbe hawatokutesa maana ushapata siri zao.
Yapo maeneo matatu shetwani hatoi order anafanya mwenyewe,,,,,wanapokaa faragha mwanamke na mwanaume,,wanaokwenda kupigana vita vya Jihadi,,,Mapepo na majini ni uzao wa kundi la malaika wa shetan waliofukuzwa mbinguni, hawa mapepo walizaliwa hapa hapa duniani kipindi kile cha akina Nuhu, kupitia lile kundi la shetan na malauka wenzake waovu walipo watamani wanawake wa kibinadamu na kuzaa nao matokeo yake kukaibuka uzao wa machotara(nephilims), na haya machotara Yaliondoshwa kipindi cha Nuhu kimwili lkn Roho zao ndizo zinaexist today maana Roho haiwezi kufa mpaka kihama, na mashetani ni viumbe tofaut na mapepo maana hawa ndio baba wa mapepo yaani ni wale malaika waliofukuwa mbinguni ama tuwaite wazazi wa mapepo, na hawa mashetani kimsingi hawadeal sana na maisha yetu bali tunadeal na vitoto vyao ambavyo tunaita mapepo vinavyosumbua jamii,
kwa weakness zetu za dhambi bado hakuna dunian mwenye uwezo wa kupambana na mashetani isipokuwa Muumba mwenyewe bali sisi tunapambana na vipepo, hata hao wachungaji wenu wa uongo huko makanisani hawawezi kuwaambia ukweli kuwa huyo mnaesema shetan mnapambana nae, sio yeye bali vijukuu vyake vipepo ndivyo kaviachia vitushughulikie, yeye shetan kazi yake ni kutoa Order tu na kusubili siku ya mwisho aje apewe mamlaka kamili ili ajifunue na kuitawala dunia Kiuwazi maana kisiri ameshaitawala dunia kupitia mafundisho ya uongo yenye alama ya666.
Fuatilia nilichokureply hutojutia, achana na stori za wababaishaji, ukiujua ukweli nakuapia hawa viumbe hawatokutesa maana ushapata siri zao.
Wacha janja janja.
Ulimwengu wa roho hakuna wakuingia kimzaha hivyo.
Ndoto na maono unayopata yote hufanyika ktk ulimwengu wa nafsi na sio Roho.
Rohoni kulishafungwa na Muumba baada ya adamu kuanguka dhambini, hivyo upeo wa maono ya kiroho kwa mwanadamu haupo tena isipokuwa kinafsi na kimwili tu.
Note: Hao mnaoita mashetan&mapepo ni roho zinazodeal na nafsi zenu na sio Roho, Roho sikuzote ni innocent/hainahatia ndiomaana ukifa inarudi kwa Muumba na nafsi kulala mautini(kuzimu) mpaka ufufuko wa adhabu na hukumu na kikawaida baada ya Uumbaji wa Muumba hakuna uumbaji mwingine unaoweza kufanyika ukihusisha Roho ya mtu ama nafsi kwa ushirikiano na Roho ya kiumbe tofauti na mwanadamu pasipo kuhusika kwa Nguvu za Muumba ama amri yake,
Unapoota ama kufanya zinaa usiku haiwezi kuathiri hali ya roho uliyoshiriki nayo kupata mtoto, huwezi kupata mtoto kwa njia ya zinaa za kiroho ama kinafsi, hiyo haiwezekana na haitokuja kuwezekana, acheni kupotosha jamii.
Mkija na stori zenu muwe mnaweka na ushahidi, ingekuwa roho inauwezo wa kuipa mimba roho nyingine waingilianapo kiroho basi wachawi wangeshawapa mimba watu wengi na kuwazalisha watoto wasio julikana wamepatikanaje, pia wachawi wa kike wangebeba mimba nyingi,
Pia unatakiwa ujuwe, baada ya Uumbaji wa Muumba na kufungwa na uwepo wa muingiliano wa uzao kati mapepo na binadamu(nephilims period) basi hakuna uwezekano tena wa kiumbe yeyote wa kiroho kuongezeka dunian, mashetani na mapepo waliopo leo ni wale wale waliokuwepo kipindi cha akina Nuhu,
Asikudanganye mtu kuwa ana mimba ya kijini ama ana watoto wa kijini, huo ni uongo na upotoshaji, maana roho kwa roho haziwezi sababisha uumbwaji wa roho mpya, pia pepo hawez beba ujauzito sabbu ya muingiliano na roho ya binadamu, ingewezekana kama mapepo wangekuwa na miili ya kibinadamu TU,
Wengi mnaoletaga stori za hivi ni kwamba mmepagawa na uongo wa ushawishi wa hizo stori zenu za kijinga, mikosi na mabalaa yanaweza kukukumba ukishiriki na roho chafu lkn sio kusababisha Uzao wa roho mpya, hata wao pepo kwa pepo hawana uwezo wa kuleta uzao wao mpya, maana Nguvu hizo zilishafungwa, ingekuwa easy hivyo basi majeshi ya mapepo yangeshaumaliza uzao wa watu dunian maana wangekuwa wengi kiidadi.
Pepo, shetan, hawezi kufa mpaka kihama, wala hawez kuonekana isipokuwa kiroho ama kinafsi tu, na hawezi kukupa mimba ama yeye kupata mimba, acheni uzushi.
Toa elimu zaidi mkuu.Wacha janja janja.