Clement paul
Member
- Oct 27, 2016
- 88
- 68
Salama kabisa karibu Jamii forums... Home of great THINKERSHabari za wakat' huu watu wangu wa nguvu...
@DomTownView attachment 1161491
Mungu ni mwema... Kikubwa pumziShukran San kaka..kwema lakni kabisa??!
Kwema, pande zipi nduguHabari za wakat' huu watu wangu wa nguvu...
@DomTownView attachment 1161491
Mazoezi brother kwa asubuh ililuw hyo leoKaribu sana mkubwa nona kiubaridi hiki umekizuia kabisa kwa na jaket juu
Kariibu Sana. Sasa mbona umeweka picha moja tu? Utakosa usajili. Ongeza nyingine.
Kwema, pande zipi ndugu
Mazoezi brother kwa asubuh ililuw hyo leo
Brother mmi sina akili hyo,mazoezi kwa afya brother..that is my body nafany mazoezi unakuwa hivyo kwa kuwa mazoezi ni kitu kinacho transform mwili wa mwanadam chap..ko kwa afya bro kwanza mengine yatafataga tu naturally. Let's get educated in this,ni jambo muhimu San kwa afya zetu matizi brohawataki 6 paki siku izi, ungeweka na ela pembeni apo wangekuja pm kama mvua
Ilo ni geto chalii angu,ushawahi kuishi geto na wana...!?kam mambo za geto unazinyak hautoona ajab chalii,my room I do what I want in.Na hapo kwenye ovatar mbona kama kuna minguo mingi mingi wee ni dobi?
Asante trudi'Karibu sana mkuu