Mambo vipi friends

Mambo vipi friends

Clement paul

Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
88
Reaction score
68
Habari za wakat' huu watu wangu wa nguvu...
@DomTown
IMG_20190724_161646_307.jpeg
 
Kabisa brother,pumzi ni kitu muhimu zaid ya chocht hapa dunian.hyo ndo zawad maalumu kwetu kutok kwa Allah.
 
hawataki 6 paki siku izi, ungeweka na ela pembeni apo wangekuja pm kama mvua
Brother mmi sina akili hyo,mazoezi kwa afya brother..that is my body nafany mazoezi unakuwa hivyo kwa kuwa mazoezi ni kitu kinacho transform mwili wa mwanadam chap..ko kwa afya bro kwanza mengine yatafataga tu naturally. Let's get educated in this,ni jambo muhimu San kwa afya zetu matizi bro
 
Na hapo kwenye ovatar mbona kama kuna minguo mingi mingi wee ni dobi?
Ilo ni geto chalii angu,ushawahi kuishi geto na wana...!?kam mambo za geto unazinyak hautoona ajab chalii,my room I do what I want in.
 
Ni member wa kipindi kirefu ulikuwa wapi mkuu....unajua kuna usajili inatakiwa ufanye sababu hujapost kwa miaka mingi toka ujiunge??
 
Back
Top Bottom