mr bongo bond 255
Member
- Feb 27, 2017
- 6
- 11
naamini mu wazima nyote,mimi ni mgeni humu na naomba ushirikiano wenu....naamini mtanipa mwongozo.asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna tatizo rafiki?Aiseee
kuna tatizo rafiki?
nashukuru sana.asante kwa mapokezHamna karibu sana.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] thanks buddyAloo Mr bongo bond 255 kama hutojali tuwekee CV yako hapa au ipandishe pic ya cheti chako cha form four ili tupate kujua ktk mijadala tutakuwa tunajadiliana na mtu wa aina gani kiakili maana hii nchi tumishaingiliwa...wenye elimu halali wanadhalilishwa wenye elimu za kununua wanapeta,usahili utaanzia humu!!!isije kuwa ni wa style za Kibashite Bashite.kidding dude,you're welcome.