Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Katika jamii ya sasa kumekuwa na mkaranganyiko wa kifikra kutokana na kukosekana kwa elimu na mifumo sahihi inayoweza kutanabaisha mahitaji sahihi ya jinsia moja kwenda nyingine.
Mwanaume ameumbwa kwa namna ambayo inamtaka mwanamke awe na mwenendo wa aina fulani ili waweze kuelewana ama kwenda sambamba. Kinyume chake ni kufarakana na kutoelewana.
Leo hii nitawapa mitazamo ambayo wanawake especially mabinti wanaoingia katika utu uzima au uanamke juu ya wanaume ambayo haipo sawa sawa.
1. Wanawake wengi huamini kuwa wanaume hutumia hisia (emotions) kufanya maamuzi. Ukweli ni kuwa wanaume hutumia mantiki (logic) katika maamuzi yao.
2. Wanawake hudhani wanaume nguvu yao ipo kwenye pesa na utajiri. Ukweli nguvu ya mwanaume ipo katika haiba ya kiume masculine spirit.
3. Wanawake hudhania wanaume huvutiwa na mwanamke anayependwa na kutakwa na wanaume wengi. Ukweli ni wanaume hawapendi mwanamke ambaye anapenda attention ya wanaume wengi na kuiendekeza wanataka mwanamke wa pekee yao.
4. Wanawake hudhani wanaume hutafuta pesa na mali kwaajiri ya matumizi binafsi. Ukweli ni wanaume hutafuta pesa kwaajiri ya kuwatunza wale wanaowapenda zaidi kama wazazi,mke,watoto,au ndugu. Wanaume hawana sababu ya kuwa na mali kama hawana watu wa kuwajali navyo.
5. Wanawake hudhani namna ya kumuumiza mwanaume aliyekorofishana nae ni kuwa na mwanaume mwingine mara tu baada ya break up. Ukweli ni kuwa wanaume huwa wanaumia sababu wanajutia kupoteza muda na rasilimali kwa mtu ambaye hakustahiki wala kutakiwa kupendwa nao, yale majuto ni matokeo ya kujiuliza ni yupi sahihi alitakiwa kupata upendo wao hadi wakapoteza muda kwa mtu asie sahihi. Hawaumii kwasababu upo na mtu mwingine.
6. Mwanawake hudhani kumkalia kimya mwanaume pale anapomkwazwa ndio namna nzuri ya kumfanya aweze kutatua shida iliyopo kati yao. Ukweli wanaume wanachukia sana mwanamke anayetumia ukimya kama namna ya kutatua changamoto sababu hawapo wired kusoma hisia au kudeal na hisia za wanawake nyakati za mivurugano.
7. Wanawake hudhani wanaume huhitaji mafanikio ya mwanamke kama elimu,fedha,mali katika mahusiano ili kuwavutia. Ukweli ni wanaume hawapendi wala hawana shida na mafanikio ya mwanamke maeneo ya elimu,fedha,vyeo au status kwasababu hivi vitu vinakinzana na mamlaka yao juu ya wanawake so hawavihitaji.
8. Wanawake huamini mwanaume asiyempatia pesa ni hana mapenzi nae,hamjali na ni bahiri. Ukweli ni kwamba kutokutoa pesa ni sifa ya mtu bahiri ila si kila asiyetoa pesa ni bahiri. Wanaume hupenda kupima character ya mwanamke atakae ishi nae kama anathamini zaidi pesa au utu,kutokutoa pesa hovyo ni automatic test wanaume huwapa wanawake wanaowapenda. Ukitaka kuamini hili jiulize wanaume wanaohonga malaya,makahaba,na vimada,huwa wanakuja kufanya nao maisha au huwapotezea?
9. Wanawake hudhani wanaweza kumcontroll mwanaume kwa kutumia sex au kufanya mapenzi. Ukweli ni kwamba mwanaume anajua kuwa sex si jambo muhimu kwake kinachomfanya aendelee kuganda ni kutaka kujipa ushindi wa kulala na mwanamke akiyemsumbua kumpa sex ambayo ni free practice. The more anamsubirisha the fast atamuacha baada ya kufanya nae sex.
10. Wanawake hudhania mwanaume kufanya mapenzi muda mrefu ni kawaida. Ukweli mwanaume hajaumbiwa kufanya mapenzi muda mrefu, hufanya kulingana na kasi ya kufika kileleni.
11. Wanawake hudhani katika mahusiano na maisha ya ndoa mwanaume anatakiwa kumsikiliza mke. Ukweli, katika mahusiano na ndoa mwanaume hutakiwa kuendesha maisha kwa kuzingatia maagizo ya MUNGU huku wao wakifuata anachosema mwanaume.
12. Wanawake wanaamini kuwa mwanaume ana maisha mafupi na wao wanamaisha marefu. Ukweli ni mwanaume ana uwezo wa kuishi maisha marefu zaidi ya mwanamke ila huishi muda mfupi kwasababu ya mifumo ya maisha ambayo humuweka katika risks na hatari nyingi ambazo mwanamke akizipitia kama anavyopitia mwanaume hatowezi ishi hata robo ya umri mrefu wa mwanaume anaezivaa hizo risk.
13. Wanawake huamini wanastahiki haki sawa na wanaume. Ukweli ni kwamba haki ni matokeo ya wajibu. Wanawake hawana wajibu sawa na wanaume kwasababu mwanaume anawajibika kwa Maisha yake, mwanamke wake,watoto na familia yake pamoja na ya mkewe pamoja na jamii inayomzunguka,hivyo basi wajibu wa mwanaume ni mkubwa kuliko wa mwanamke na ndio maana mwanaume ana haki nyingi kushinda mwanamke na huonekana kama upendeleo ila si kweli.
14. Wanawake hudhani kila mwanaume anapenda kuwa na wanawake wengi ila kwa wastani mahitaji na idadi ya wanawake sio jambo la ufanano kwa wanaume. Kuna wanaume hawezi kudeal na mwanamke zaidi ya m'moja kwa wakati m'moja. Pia kuna wanaume kwasababu ya kutoweza kudeal na Mwanamke m'moja hujikuta wakitibuliwa na mke wa sasa atakwenda anzisha maisha na mwingine na kumuacha wa sasa sio kwasababu anapenda wanawake wengi.
15. Wanawake hudhania wanaume wanapenda mpira,ulevi na Bar kama kitu cha asilia kwa wanaume na cha ulazima. Ukweli ni wanaume hawanaga safe space ya kutuliza akili wanapotoka kazini hivyo hutaka sehemu ambayo hawatadeal na mizongo au mizinguo au kelele za mke baada ya uchovu wa purukushani za siku nzima. Sehemu pekee watapata kuwa mbali na mke msumbufu ni kutazama mpira au kwenda Pub na kurejea usiku kulala.
16. Wanawake hutumia watoto kama uwekezaji wa matunzo ya baadae na hudhani wanaume pia huhitaji watoto kwaajiri ya matunzo ya baadae. Ukweli ni wanaume wanajua watoto wao watawapa upendo mdogo sana baadae ingawa wanajitoa kwa asilimia zaidi ya 100 kwao. Wanaume hutumia watoto kama kipimo cha ubora wao kama baba wa familia si zaidi ya hapo. Wanaume hupambana mtoto afanikiwe ili yeye aje kupata sifa za baba bora, mwanamke hupambana ili apate mtetezi wa maisha na gharama zake utu uzimani.
17. Wanawake hudhani wanaume ni viumbe wakatili dhidi yao. Ukweli ni wanaume ni viumbe wenye huruma kwa wanawake kushinda hata wazazi wa mwanamke wenyewe.
Hizi ni baadhi tu ya misconceptions zinazopatikana katika mahusiano kati ys mwanaume na mwanamke katika maisha ya sasa.