Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo na namba 6 inachukiza sana..unakuta ghafla tu mtu sura imevimba bila sababu unauliza vp hajibu chochote. Mimi huwa naachana nae tu naenda zangu kucheza pool table na kumwagilia moyo na washkajiKatika jamii ya sasa kumekuwa na mkaranganyiko wa kifikra kutokana na kukosekana kwa elimu na mifumo sahihi inayoweza kutanabaisha mahitaji sahihi ya jinsia moja kwenda nyingine.
Mwanaume ameumbwa kwa namna ambayo inamtaka mwanamke awe na mwenendo wa aina fulani ili waweze kuelewana ama kwenda sambamba. Kinyume chake ni kufarakana na kutoelewana.
Leo hii nitawapa mitazamo ambayo wanawake especially mabinti wanaoingia katika utu uzima au uanamke juu ya wanaume ambayo haipo sawa sawa.
1. Wanawake wengi huamini kuwa wanaume hutumia hisia (emotions) kufanya maamuzi. Ukweli ni kuwa wanaume hutumia mantiki (logic) katika maamuzi yao.
2. Wanawake hudhani wanaume nguvu yao ipo kwenye pesa na utajiri. Ukweli nguvu ya mwanaume ipo katika haiba ya kiume masculine spirit.
3. Wanawake hudhania wanaume huvutiwa na mwanamke anayependwa na kutakwa na wanaume wengi.
Ukweli ni wanaume hawapendi mwanamke ambaye anapenda attention ya wanaume wengi na kuiendekeza wanataka mwanamke wa pekee yao.
4. Wanawake hudhani wanaume hutafuta pesa na mali kwaajiri ya matumizi binafsi. Ukweli ni wanaume hutafuta pesa kwaajiri ya kuwatunza wale wanaowapenda zaidi kama wazazi,mke,watoto,au ndugu. Wanaume hawana sababu ya kuwa na mali kama hawana watu wa kuwajali navyo.
5. Wanawake hudhani namna ya kumuumiza mwanaume aliyekorofishana nae ni kuwa na mwanaume mwingine mara tu baada ya break up. Ukweli ni kuwa wanaume huwa wanaumia sababu wanajutia kupoteza muda na rasilimali kwa mtu ambaye hakustahiki wala kutakiwa kupendwa nao, yale majuto ni matokeo ya kujiuliza ni yupi sahihi alitakiwa kupata upendo wao hadi wakapoteza muda kwa mtu asie sahihi. Hawaumii kwasababu upo na mtu mwingine.
6. Mwanawake hudhani kumkalia kimya mwanaume pale anapomkwazwa ndio namna nzuri ya kumfanya aweze kutatua shida iliyopo kati yao. Ukweli wanaume wanachukia sana mwanamke anayetumia ukimya kama namna ya kutatua changamoto sababu hawapo wired kusoma hisia au kudeal na hisia za wanawake nyakati za mivurugano.
7. Wanawake hudhani wanaume huhitaji mafanikio ya mwanamke kama elimu,fedha,mali katika mahusiano ili kuwavutia. Ukweli ni wanaume hawapendi wala hawana shida na mafanikio ya mwanamke maeneo ya elimu,fedha,vyeo au status kwasababu hivi vitu vinakinzana na mamlaka yao juu ya wanawake so hawavihitaji.
8. Wanawake huamini mwanaume asiyempatia pesa ni hana mapenzi nae,hamjali na ni bahiri. Ukweli ni kwamba kutokutoa pesa ni sifa ya mtu bahiri ila si kila asiyetoa pesa ni bahiri. Wanaume hupenda kupima character ya mwanamke atakae ishi nae kama anathamini zaidi pesa au utu,kutokutoa pesa hovyo ni automatic test wanaume huwapa wanawake wanaowapenda. Ukitaka kuamini hili jiulize wanaume wanaohonga malaya,makahaba,na vimada,huwa wanakuja kufanya nao maisha au huwapotezea?
9. Wanawake hudhani wanaweza kumcontroll mwanaume kwa kutumia sex au kufanya mapenzi. Ukweli ni kwamba mwanaume anajua kuwa sex si jambo muhimu kwake kinachomfanya aendelee kuganda ni kutaka kujipa ushindi wa kulala na mwanamke akiyemsumbua kumpa sex ambayo ni free practice. The more anamsubirisha the fast atamuacha baada ya kufanya nae sex.
10. Wanawake hudhania mwanaume kufanya mapenzi muda mrefu ni kawaida. Ukweli mwanaume hajaumbiwa kufanya mapenzi muda mrefu, hufanya kulingana na kasi ya kufika kileleni.
11. Wanawake hudhani katika mahusiano na maisha ya ndoa mwanaume anatakiwa kumsikiliza mke. Ukweli, katika mahusiano na ndoa mwanaume hutakiwa kuendesha maisha kwa kuzingatia maagizo ya MUNGU huku wao wakifuata anachosema mwanaume.
Hizi ni baadhi tu ya misconceptions zinazopatikana katika mahusiano kati ys mwanaume na mwanamke katika maisha ya sasa.
🙏🙏🙏 True trueWengine hudhani akiwa weupe na nyash kubwa atamyumbisha kila mwanaume ,kumbe ukweli ni kwamba sio kila mtu anavutiwa na hizo sifa.