Mambo wanawake wanayohisi ni kweli kuhusu wanaume na kumbe ni kinyume chake

Respect, hili chapisho linahitaji kitabu na tuzo ya kuanzia mwaka 2025
 
Iyo na namba 6 inachukiza sana..unakuta ghafla tu mtu sura imevimba bila sababu unauliza vp hajibu chochote. Mimi huwa naachana nae tu naenda zangu kucheza pool table na kumwagilia moyo na washkaji
 
Wengine hudhani akiwa weupe na nyash kubwa atamyumbisha kila mwanaume ,kumbe ukweli ni kwamba sio kila mtu anavutiwa na hizo sifa.
πŸ™πŸ™πŸ™ True true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…