Wanaume wanaweza kumlisha mkewe mwaka mzima bila manung'uniko.Bora hata angekuwa jamaa, mwenyewe kujilisha mpaka ajidhalilishe humu atanilishaje siku zote hizo! Ulishawahi kumlisha mtu siku 365? Au unafanya tu assumptions za kuandika!
Muandikie kama zile zangu achanike huko😁Meza metronidazole 2×3 ina kata kuendesha fasta bwashee
Nimekurikwesti na uje unywe vi bruto🤔Sikuwezi😂🙌🏾View attachment 3592292
Na hutosikia anakutangaza sehemu! Njoo kwenye hii gender shida tupu🙌🏾Wanaume wanaweza kumlisha mkewe mwaka mzima bila manung'uniko.
Nishasema mimi sinywi huto tujuisi🤣Nimekurikwesti na uje unywe vi bruto🤔
Anasema hataki 50/50 lakini ukisoma maelezo yake unaona 5/95🤣🤣🤣 Walivyo waajabu Sasa Mtoto wake wakiume akiwa na mwanamke halafu huyo mwanamke akawa ana mchuna huyo kijana Huwa wana kasirika sana ila wao kuwafanya hivyo watoto wa watu it's okay but wakifanyiwa watoto wao Tayari inaibuka vita
Wanawake ni viumbe wabinafsi Sana
Na huu ndio ukweli, tuliolelewa na mama ambao hawakulala ndani kama utumbo, walifanya shughuli za kuingiza kipato cha familia mwanzo mwisho. Huwezi kuoa mwanamke mdakaji tu mwenye ubinafsi wa chake ni chake.Binafsi nimemwona mama yangu mzazi akipambana na kuzalisha mali ndani ya familia , ni ngumu sana niwe na goli kipa , mdakaji tu , bila kutimuana.
Hahahaha ila virusi pia vipo bwasheeNa huu ndio ukweli, tuliolelewa na mama ambao hawakulala ndani kama utumbo, walifanya shughuli za kuingiza kipato cha familia mwanzo mwisho. Huwezi kuoa mwanamke mdakaji tu mwenye ubinafsi wa chake ni chake.
Hata hivyo, una argue na warriors wa hf mangiii, hawataki kushindwa, ila ukweli wanaujua, wanafanya zaidi ya kawaida kwenye hizo familia zao. Uzuri jf sio kisiwa kwamba wanaoishi humo ni exceptional.
Mimi nadhani kama vile swala la mwanamke kuhudumiwa au mwanaume kuhudumia mke na familia kwa ujumla lilivyoanza na kudumu kwa mda mrefu basi litatoka taratibu na kwa mda mrefu pia. Huko mbeleni kuna mfumo utakuja tofauti kabisa na sasa. Kama wanawake walikuwa hawafanyi kazi sahizi wanafanya hata zile ambazo iliaminika hawafanyi. Tunawaona wanaendesha bajaji,daladala, wako makondakta na wabeba zege wanaingiza kipato.Wanawake zaman ilikuwa nadra sana kuwakuta mitaani au barabarani nyakati za usiku ila sahzi tunakesha nao. Tofauti sasa ni ile kwamba wanafanyakaz ila pesa ni yao hawataki kushare kwenye majukumu ya familia kwamba kuhusu mambo ya kuhudumia ni ya mwanaume tu. So, itafika sehemu ubinafsi wao utaleta mfumo mpya kwenye uhusiano wa mapenzi/ ndoa ambao wengi washaanza kuupigia kelele.Hii 50/50, ililetwa ili mwanamke apate fursa sawa na mwnaume bila kujua tabia asili ya mwanamke ni ubinafsi. 50/50 ni wazo zuri kwamba hawa wanawake wasifanywe kama vilema au watu ambao hawanauwezo wakuchangia chochote kwenye ngazi zote za kijamii ,kisiasa na kiuchumia maana wamewekwa hadi kwenye makundi maalum.So, ni wazo mbalo kama litatumika vizur basi litapunguza mzigo kwa mwanaume ila ndo linaonekana linamsaidia mwanamke pekee na si familia kwa ujumla. 50/50, kwa Sasa hii kitu inatesa wapenzi hadi wanandoa.😁maana imekaa kibinafsi zaidi.....Uhusiano wa sasa unaamuliwa na musuli wa kiuchumi. Mwanamke akiwa na pesa kwa asili yao ya ubinafsi anakuwa na maamuzi ya mwisho ndani ya ndoa/penzi😁😁😁😁Nimekupenda bure mweee wafundishe na wenzio maana hawajisomi huko ndo maana wanatelekezwa mwanamke Yuko bize anatafuta kiwanja ajenge ukimuuliza anasema anataka mume wake Asimnyanyase sasa unajiuliza huyu kama siyo amekataa kuwa mwanamke nini shida tulia kuwa mwanamke baaa
Afu wewe ntakuchapa kila nilipo nawe upo 😹😹😹Waleeeeeteeeeeee hapo kati sasa eeenhhhhh¡!!!!!!!
Kuwa karibu na huyo anajiita Dr sijui nani lazima akuvute kwenye hayo mamboUmeniona wapi tena?🙆🏽♀️
Baltasar Ebang Engonga vip tena huko gentleman?, kuna nini, nilikua na drive 🐒
🤓Meza metronidazole 2×3 ina kata kuendesha fasta bwashee
Hamna bwana amani itawale tuu, si umevuta Sigara ⛽️ nimewaita tusebeneke bwaaahhh.Afu wewe ntakuchapa kila nilipo nawe upo 😹😹😹
Kwani mwanaume kwa mwanamke anapenda nini?Ok,sitokataa sababu pale siko kwenye mapenzi na kampuni au boss. Niko pale kufanyakazi nipate pesa ndo maana mara nyingi tunaonywa kutochanganya mapenzi na kazi maofisini maana huathili utendaji kazi. So, pale hupelekeshwi bali unapewa majukumu yako yakuyafanya upate mkwanja wako na siku zote boss hakupendi wewe,anapenda kazi yako.
Vipi, mfano wako wa eneo la kazini unahusiana na swala la mapenzi/ ndoa na kupelekeshana??!
Kwahiyo wewe huwezi kumsaidia mwanaume majukumu hata kidogoNaunga Mkono hoja kwa asilimia 1000 🤣🤣🤣🤣
Kumbe mi ni tahira🤣Kuwa karibu na huyo anajiita Dr sijui nani lazima akuvute kwenye hayo mambo
Wewe ukaenda kubugia kama mahindi ya kuchoma😅Muandikie kama zile zangu achanike huko😁
Grant vip?Nishasema mimi sinywi huto tujuisi🤣
Wala hata vile tu sio vya kufakamia!Wewe ukaenda kubugia kama mahindi ya kuchoma😅
Hapo sawa!😈 nikishiba makande naziteremsha tu mwanang!Grant vip?