min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Binafsi nimemwona mama yangu mzazi akipambana na kuzalisha mali ndani ya familia , ni ngumu sana niwe na goli kipa , mdakaji tu , bila kutimuana.Wanadai usawa kwenye kutafuta pesa, halafu wakati wa kutumia wanarudi kwenye mfumo dume..
Huo ni ukatili wa kisaikolojia na kiuchumi dhidi ya mwanaume.