Binafsi nimemwona mama yangu mzazi akipambana na kuzalisha mali ndani ya familia , ni ngumu sana niwe na goli kipa , mdakaji tu , bila kutimuana.Wanadai usawa kwenye kutafuta pesa, halafu wakati wa kutumia wanarudi kwenye mfumo dume..
Huo ni ukatili wa kisaikolojia na kiuchumi dhidi ya mwanaume.
Kama ulivyokuja kunichukua kwetu wazazi wangu tu uliwapa pesa iweje uulize kwanini mimi mhusika usinipe pesa?Kwa nini upewe hela?
Wee unajali???? Pole sana kwakutesekaZaidi ya Hilo shimo ambalo unampa kila mwenye pesa aliombae
Pesa zake anasaidia kaka zake na wazazi wake kijijini😅
Nimechoka kukujibuUliijibia wewe na nani?
Ukijibu tena utapata hasara gani?
Wakati mnajibu una uhakika gani kama mimi niliona hayo majibu?
Huu ndo ukweli! Kama hapa nikipata mzigo wa maana lazima nimpe babe wangu kitita kama pole.Kwenye huu uzi kila Mwanamke atadai hua anapewa hela yeye tu,
Unaweza kukuta kuna mshangazi hapa anahudumia kila kitu home ila hapa nae anajifanya anahudumiwa!
😀😀
Itakua huna hela weyeeNakutengenezea mazingira ya kujihudumia , mambo za kuomba hela kila siku kama unapeleka kwenye shimo la panya , inakata stimu kinouma
Kwenye ndoa , hakuna pesa yangu na pesa yako linapokuja suala la ustawi wa familia..Kupata hela nyingi kuzidi mwanaume hainifanyi mimi kupoteza haki yangu ya Kutunzwa
Kuombana pesa kwa wanandoa sio lugha sahihi, labda useme mwanamke anakuwa anamkumbusha mume kuna mahitaji gani kwenye familia.Kwa hiyo wanandoa hawaombani pesa. Asante kwa taarifa
Bwashee abdala kichwa wazi alitakiwa asimame kwa mwanamke mwenye uwezo wa kujenga familia na kuzalisha mali , ila alivyo mpuuzi anasimama baada ya kuona upaja🤔Anajenga bushi huko, kaka zake wanavimba shemeji mjini ana hela. Wanakuona fala. 😊
Tena ndefu sio kidogoMwanamke ni pambo anayevuja jasho bado ana safari ndefu
Kwenye uislam wazazi hawapewi pesa,mahari ni ya muolewajiKama ulivyokuja kunichukua kwetu wazazi wangu tu uliwapa pesa iweje uulize kwanini mimi mhusika usinipe pesa?
Ndio nimeshamalizaNdounataka kusemaje ????
Uislamu weka pembeni sababu hapa unaongea na Ester na sio MaimunaKwenye uislam wazazi hawapewi pesa,mahari ni ya muolewaji
Kamuhudumie mpenzio/mkeo sasaNdio nimeshamaliza
NajitahidiKamuhudumie mpenzio/mkeo sasa
Kuteseka!?..mi hayo mashimo nathomba,ukiniombaomba hela naachana nalo,nafata jingine,infact baada ya kujua ucenge wake,shimo moja baada ya kulikoroga nililitemea kohozi nikalikita kwelikweli kwa kisigino,sijui kama qisimi kina hisia tenaWee unajali???? Pole sana kwakuteseka
Safi sana and big up .Najitahidi
Sasa mimi sikuja kwa akina Esther kuwapa hela wazazi wake Ili niwasaidie kumfuga estherUislamu weka pembeni sababu hapa unaongea na Ester na sio Maimuna